Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

Kwa utafiti gani uliofanya we hidaya?
 
Kwa hiyo ndugu slowly unatuambia kwamba udikteta ni mbinu pia.
Kazi ipo.
 
Mnaandika sana.. Mkitaka kujua ccm si lolote si chochote fanyeni kama mnajikuna tu.. Ruhusuni siasa hata kwa mwezi tu ndio mtajua kama mna pendwa au mnaishi kwa kudra za Kamanda Siro na usalama.. Watu tumechoka ni vile threshold haijafikiwa tu! Eti anapendwa. Mnampenda nyie mnaokula na kusaza huku mkipigwa upepo kwenye mavxv8, bombadier na DREAMLINER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game la 2020 nigumu sana Nchi inaenda kuandika history mpya Kama unakumbuka 2015 ilikua last chance kwa ccm JPM akafanykiwa kapenya na kuingia Ikulu ajamaliza hata dk kalikoroga kasau Changamoto alizopambana nazo alijinadi yeye kama yeye na kuweka ccm pembeni nangoja nisikie atakuja na gia gani JPM wapinzania hawana kazi sana amejimaliza mwenyewe kwakukosa amaarifa
 
kwenye siasa za Tanzania JPM ni mtu wa kawaida sanaaa
 
mchambuzi mkubwa unashindwa kabisa kuelewa kuwa kwenye box la kura ccm hawana chao.. ina maana hujui hili kweli? ccm bila kuiba kura au bila polisi hawawezi kushonda majimbo mengi sana.. na nikuhakikishie tu uchaguzi unaokuja watu watakaojitokeza hawawezi kufika 40% mark this.. kwa sababu gani/.? wanajua kabisa kuwa muamuzi wa kura sio box la kura ni ccm wennyewe.
sluhisho ni katiba.. na ccm hawatakubali kuigusa katiba kwa sababu wanajua ndio jeneza lao
 

Duh! Utafikiri imeandikwa na mtu ambaye amekuwa Profesa wa mambo ya siasa kwa muda wa nagalau miaka 200!
 
Uzi wako naupeleka kuutunza kwenye hazina yetu ya ukoo,,

Utasaidia vizaza na vizazi,,,

Mnyaazmungu akuzidishie maarifa ww na uzao wako,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechambua vizuri, lakini umefukia fukia hapa na pale kwa propaganda za CCM. kwamba Magufuli anakubalika nani kakuambia? Magufuli mwenyewe amekataa kujipima kwa kuruhusu chaguzi za marudio ziwe free and fair. uchaguzi pekee ambao hakuuingilia ulikuwa ule wa Tunduma na ambapo CHADEMA walishinda. kama Magufuli aligwaya hata kule KOROGWE ambako CCM walikuwa wanatetea jimbo lao, utasema nini? Mbaya zaidi ile tafiti ya TWAWEZA ndiyo kabisaa ilimchanganya.

Ile assumption ya kwamba watu wa vijijini wanapenda CCM au hawajui kinachoendelea kwa Magufuli haitamsaidia kwa sababu ameua sana uchumi kila kona mpaka vijijini hali ni mbaya sana. kuhusu makundi ndani ya CCM ni kweli Magufuli amejipalia makaa mwenyewe. alikuwa na fursa ya kuyamaliza lakini kwa ubabe wake ameyaongeza nguvu. na bado msimwamini sana Mamvi. anaweza kuwachezea Chess wote mkapagawa.
 

Mimi bwana nakuelewa sana bila kujali uko upande gani.....

Lakini ulichokiandika ni ya kutoka kwako, moyoni mwako na kwa kiasi kikubwa ndivyo ilivyo.....

Nashangaa tu kwa nini members wengine wameshindwa kukuelewa.....

Ni kweli kabisa "mfumo" ndiyo unaombeba Joni Magufuli na CCM yake....

Kwani kwa upande wa pili huyu Pombe Magufuli, hana kitu... hana lolote... si mwanasiasa huyu na hana political strategies zozote huyu, hana mvuto kabisa wa kisiasa.....

Na whether you will like it or not, huyu hakuwahi kushinda ktk uchaguzi mkuu wa 2015. Ballot Box ilimkataa kwa 80%....!!!

Usiniulize: Mbona ni Rais sasa??

What matters ni kuwa, he's na anatumia ipasavyo fursa (advantage) aliyoipata ya "kushika dola na mwamuzi wa kila jambo" i. e Jeshi, polisi, TISS, fedha, mahakama, bunge, medias nk kwa manufaa yao....

Na hili ndivyo ilivyokuwa, ilivyo sasa na itakavyokuwa huko mbeleni unless kumtokea mageuzi makubwa ya mifumo ya kikatiba na kisheria ambayo automatic itabadilisha mfumo mzima wa utawala wenye uelekeo wa kiimla.....

Na hii iko na itakuwa hivihivi hata kama leo ama kesho Tundu Lissu na CHADEMA ama Maalim Seif Sharrif Hamad na ACT - Wazalendo yake ama Prof. Ibrahim Lipumba na "dead" CUF yake watashika dola....

Kwa siasa zinazoendelea sasa, mimi nadhani oppositions wanapaswa kuja na mbinu mbadala kukabiliana na nguvu hii anayotumia Joni Magufuli na CCM yake kujihakikishia wanabaki kwenye game iwe next year 2020 au hata miaka mingine ijayo.....

Opposition wanachopaswa kufahamu ni kuwa, wenzao (the ruling party) wanatumia kila silaha waliyonayo iwe ya ndani ama nje ya wao wenyewe....

Wako tayari hata kuwatumia wao wenyewe (opposition) ili mradi ku - neutralize kila resistance inayojitokeza mbele yao....

For instance, they are already done with Prof. Ibrahimu Lipumba mpaka hatua hii....

Wanaodhani Prof Ibrahimu Lipumba
bado ana business tena na CCM wanajidanganya kwa hakika. Ameshamaliza kazi aliyepewa and he's gone....

Malipo ya Prof. Lipumba ni kuruhusiwa kutumia malimbikizo ya ruzuku kwa kuhakikisha anajitengenezea mustakabali mwema ingalau wa maisha yake baada ya 2020.....

Kwa Kiingereza, tuseme hivi.. The Prof Lipumba chapter is now slowly closing...

Kwa upande mwingine nitatofautiana na wewe kwa ishu ya kwamba, CCM wamefanikiwa kuua upinzani.....

There is no way hili litatokea. Si kwa kutunga sheria za hovyo, si kwa kutumia polisi na bunduki, si kwa kutumia mahakama ama magereza nk nk....

Ambacho ni possible kwa over 50% ni ukweli kuwa, Mr Magufuli na CCM yake has a possibility of rataining his seat comes 2020 General Election unless kitokee "kisichotarajiwa" maana kwenye siasa chochote na wakati wowote chaweza kutokea......

Kwa ZANZIBAR, historia inakataa katakata kuwa Maalim Seif Sharif Hamad, ndiyo the end of the road....

Siasa za visiwani ni tofauti sana na za huku kwetu bara...

Wazanzibari wanam - support sana huyu mzee wala siyo Chama. Mwisho wa Maalim Seif ni kifo ama kuacha siasa tu, and not otherwise....

Na kama hatuamini hili, tusubiri mwakani 2020..!!
 
JPM kafeli kila jambo kabumisha uchumi plus kodi za kero Nyanganya nyanganya watu mitaji maisha kayapandisha shilingi yetu haina dhaman tafulani kwenye jamii Kuna watu mpaka leo wameshindwa kuwapeleka watoto wao shule chakushangaza jamaa anaona ufahari kumtaja Kagame kua ndiye mshauri wake mkuu hata kununua ndege ni mawazo ya Kagame ambaye hata kiswahili kinamshinda kuongea huu sio ubabashi? 2020 Lissu na Fatma wamuache salama?
 
Hivi kabisa unaweza kukaa ukajidanganya kuwa Lissu anaweza kumshinda Magufuli 2020?

Tatizo una IQ ya panya, jiwe mwenyewe amesema watz siyo wanjinga sanaa, mwambieni jiwe kwa Lissu ni maarifa na kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…