Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

Mwisho wa dhambi na fitina ni aibu Jiwe ataaibika kweli na hatofanikiwa malengo yake .
 
Mtaji wa CCM ni mabavu ya dola yaani bunduki na mabomu upande mmoja na mbeleko ya NEC kwa upande wa pili, hizo zingine ni propaganda tu. CCM bila mabavu ya dola na mbeleko ya NEC ni wepesi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Western wakiisaidia nchi kwa fedha, wewe na wenzio mnawaita wawekezaji, awadau wa maendeleo, wafadhili nk, ila wakiwasaidia wapinzani mnachukia mnawaita majina ya kuwakashifu. Nikwambie hivi achana na Wazungu wakitaka kuiondoa CCM madarakani hawashindwi, Simu za kwao, magari yao, Bunduki za kwao, Ushushu wanaujua sana nyie mnaiga tu. Unapoteza muda wako kuwajadili watu ambao wamekutangulia maendeleo ya miaka takribani 300 ijayo.
 
Magu anaanza kuwasujudia aliokuwa anawatukana,wale waliokuwa washwa washwa sasa wanaitwa mjengoni kuokoa jahazi,Naona Boys II man wanarudishwa kimtindo,wanamkakati hawa japo wamesambaratika kiitikadi. JK anamchekea tu Magu lakini anajua kete yake ataelekeza wapi.Tatizo Magu alijifanya mjuaji sasa anaomba Poo .Tuliona kwa RA,ikaja kwa EL sasa analia na JK.Na bado atawaita akina Mbowe ikulu soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
muda bado sana wa kutoa uchambuzi wenye hitimisho kama huu!!! Subiri muda utafika na utaona mambo yatakavyo badilika dakika za majeruhi..........sasa ni mapema mnoo kutabiri mwelekeo kwa siasa za tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhan hizo kura kwenye hiyo mikoa zitaenda ccm sababu lowassa kaenda huko? Hell naw.
The difference is wananchi wa mikoa uliyotaja wameelimika sana.. na wanajua nyeusi ni ipi nyeup ni ipi.
Sidhan kama hizo kura zitahama sabab ya lowassa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…