Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

Sio tu wapinzani.. bali wananchi wengi hawataenda. Kwann? Sababu siasa za bongo hazieleweki.
Wanasiasa hawasomeki.. + kuna chama kina access na vyombo na dola.. so kama wanaweza force mtu wao apite kwa vyovyote vile kuna haja gani kwenda kupiga kura wakati mshindi achomekwa mahali?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ukweli kabisa...upinzani wengi wamekata tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona unachambua ukiwa huru kabisa safi sana. Sasa haya mambo wapinzani wakiambiwa wanakasirika lkn ndo ukweli, lazima wajipange.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni upumbavu

Hakuna cha uchambuzi zaidi ya propaganda
Ushenzi na unafiki
 

Sijakataa, wazungu wanaweza kufamya lolote...ndo mana nikasema hvi Wazungu kutoa msaada wa kumtoa mtu madarakani ni mpaka waone kiwango cha manufaa watakayopata kitazidi yale manufaa wanayopata kupitia raisi aliyepo madarakani...mpak sasa mzungu hajaloose lolote kutokana na utawala wa JPM, labda hapo mbeleni
 
Huu ni upumbavu

Hakuna cha uchambuzi zaidi ya propaganda
Ushenzi na unafiki
Hukutakiwa kutukana..bali ulitakiwa kukosoa kulingana na maoni yako...una mihemko sana, huu mchezo hauhtaji hasira
 

chadema kama mngekuwa chidbenz kipindi kile na hisi kwa hizo nyimbo za freestyle hapo basi tuzo za marehemu ruge mngepata
 
Nje ya dola CCM na Magufuli ni hopeless wana mkakati gani ?
Very true

Hivi utawezaje kumsifia mtu ambaye unajua kuwa ana-abuse power tuliyompa na kuita kuwa ni strategic??

Hivi huyu Magu, bila Jeshi la Polisi kuwa "under his control" hivi si mwepesi zaidi ya tissue paper??
 
Mtu yeyote aliyesoma sayansi huwa anauwezo mkubwa sana wakufikiri, trust me. Kule hakuna kukopi na kupast kunahitaji derivation and high thinking capacity to release the problem. Sasa unapoambiwa JPM ni mtu smart usicheke sababu aliyoifanyia nchi mpaka sasa ndio yanayodhihirisha usmart wake no porojo anymore awamu ya tano..
 

That is a myth. Watu waliosoma sayansi Tanzania hii 99.9% cramming. Huwezi kumuita Magufuli scientist kwa definition yeyote ile halafu mtu anaejua science na scientists akakuelewa. Na kama alichofanya hadi sasa ndio proof ya u-smart wake basi definition yako ya neno smart sio hiyo inayoeleweka na kutumika globally. Kwa taarifa yako, Magufuli is so management incompetent kiasi kwamba ukimpa kuendesha biashara ya kuuza maji jangwani hiyo biashara itafilisika within 3 months.
 
Sitakushangaa kwa maneno yako hayo sababu hujasoma sayansi hivyo huwezi jua, aliyekuambia mtu anaweza kucram Math au Physics ni nani embu jitokeze wewe ukacram kama hujachanganyikiwa leo hii hii. JPM ni mtu wa fact no porojo wapenda maendeleo tunamuelewa ila wale waliozoea kupiga porojo na siasa mchwara na za ujanja ujanja hawawezi muelewa kamwe.
 
CCM wanabebwa ba dola full stop.
hakuna cha umakini wala nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…