Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari


I rest my case! Wenye akili japo kidogo watajua tofauti iliyopo kati yetu. Sitaki kushindana na nguruwe kugalagala kwenye matope.
 
Uhuru wa vyombo vya habari na raia, kuminywa demokrasia na kuegemea china, hizi zote ni danganya toto tu.

USA hajali what you are doing with your country as long as he get what he wants. na hii ni kwa wote UK France n.k

Kumbuka hawa hawa ndio waliokuwa wakiwa finance madikteta wa kiafrika na kuwapa silaha kuuwa watu, walipochoka nao wakawashuhulikia.

CCM kama ulivosema wapo well organized, wamejifunza na wanajua how to play with these people.

Maalim alifika UK akalalamika sana na sana, na mataifa yote duniani wanajua kuwa jamaa kaporwa, lakini who cared?

Wamemrudisha visiwani na ahadi ya watashuhulikia, mpaka leo kimya. Kuna kipindi apa eti Misaada imezuiliwa, imeanza kuja wenyewe.....

CCM wanakula sahani moja na mabeberu na ndio maana wanaendelea kudumu.
 
The game continues.
 
Usijidanganye MTU wa strategy anatumia akili na sio nguvu, jiwe anatumia nguvu automatically sio MTU wa strategy
 
😁😁😁😁😁😁 PHD in maganda ya korosho from University of Dar es Salaam
 
Mkuu upo sawa kabisa...wanaotapatapa kutafuta msaada huko hawajui kuwa jamaa wale ni opportunist....kwenye rasilimali kama dhahabu, almasi tayar wameshakaba na wananufaika tu vizur....mpak sasa ni kama hawana mpango wwte was kuingilia siasa za Tanzania, wanachokifanya just kuwaridhisha tu wanaowaendea na matamko ya vyombo vya habar na majarida....kinachoshangaza Leo wanalaani kwenye vijarida alaf kesho wanatuma msaada ikulu kwa JPM na tabasamu bashasha
 
Mkuu well said..ndo mana nikasema hvi mipango ya opposition hasa ya kutegemea vyombo international itategemea factor mbalimbali moja wapo kuwepo na msuguanao makali kati ya makaburu na JPM (kitu ambacho mpak sasa hakipo) kuna sehmu wanagusa wanafikir CCM haipo lakni wanakuta CCM ishakita mzizi mpaka kwenye mantle
 

NI UJENZI WA HOJA / UCHAMBUZI MZURI, KWA JICHO LANGU
 
Ccm na lipumba ndio mlitazamia maali atahamia cdm. Wengine wenye akili walijua atahamia act-w. Uswahiba wao hivi karibuni kilikuwa ni taa ya njano tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kabisa unaweza kukaa ukajidanganya kuwa Lissu anaweza kumshinda Magufuli 2020?
Bila wizi, anashinda alfajiri ya majogoo. Magufuli bila ubabe wa kuiba kura kwa mgongo wa tume, anaenda nyumbani vizuri sana. Ccm, bila tume yao hii, is nothing but a Spent Cartridge.
 
Ni kweli Magufuli hana ujanja wowote kisiasa, yeye anachotegemea ni mbeleko ya tume yake ya uchaguzi. That's all.

Acha basi tupate tume huru na hao wakurugenzi waende nyumbani wasiwe sehemu ya hiyo tume ndio tuone basi kama kweli yeye sio "Joka la Kibisa".

Huyu hana lolote ni ubabe wa bure tu. Kwa nini basi anaogopa tume huru??????????
 
Hata kama hatagombea tena lakini Lowasa target yake ni 2025. Amerudi lakini ataishikisha adabu muda ukifika. Anaweza asisamehe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi umepata wap ujasiri wa kucommit fallacy ya kugeneralise kuhusu vijjn?Hivi Heche ni mbunge wa mjin?Mm kijijn kwetu watu wako well informed labda unamaanisha vijiji vya kongwa na maeneo mengine ya dodoma
 

Waweza kuwa kweli kwenye hili kwani wengi wameona wizi unaofanywa ccyemu, ila pia nimecheka sana eti jiwe ana strategy hivi mleta mada uko serious kweli au umeweka utani kidogo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yafuatayo yatafanyika!
1.NEC itakuwa huru na Haki.
2.Vyombo vya ulinzi na usalama vitakaa pembeni visiingilie uchaguzi.
Zaidi ya hapo hata Vyama vya Upinzani vingekuja na mikakati gani,lazima CCM itabaki madarakani tu.
Asikudanganye mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…