Nyuma ya Pazia; TFF -AZAM TV Haki ya Matangazo

Mosi, MKATABA umetolewa kwa muktadha wa UZOEFU na sio katika TARATIBU za Manunuzi ya Umma. Mathalani, tukiangalia Ligi ya South Africa, duration ya MKATABA inakuwa ni kati ya miaka miwili hadi mitatu tu. Kila timu inapokea Bil 4 kwa mwaka huku mshindi wa PSL akipokea Bil 6 ikiwa ni jumla ya shilingi Bil 10.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Afu nisadie kumtaja aliyesema atatoa au alitoa dau kubwa kuliko azam tv ili tukuelewee tofaut na hapo ntakuona unaleta ushilawadu tu
Huyu MK54, anakosa rejea ya kile anacho tuaminisha, ame generalize mada yake mnoo kiasi kwamba hata sisi wachangiaji tunajikuta tunajadili bila kuwa na rejea sahihi,
Atuambie.
1. Hiyo anayosema ukakasi wa muda wa mkataba kwa kuainisha, mapungufu ya kisheria na sio bla bla

2. Value for money, aje hapa na ikiwezekana aje na fact and figures (Aanze kutuambia hiyo value for money anamaanisha nini, akilinganisha na nini)
3. Utaratibu wa Zabuni (Aje na Facts kuwa haikutangazwa, sabab wadau wamemuelimisha kwenda ktk website ya TFF, lakin zaidi wamemtaka aende TFF kufanya rejea)
 
Taratibu za manunuzi zinataka mkataba uwe wa muda gani
(Itakuwa vizuri ukatupa kifungu cha sheria au kanuni ya manunuzi ili tufanye rejea)
 
Hoja yake ni nzuri, lakin hana uhakika kwa sabab ana ufinyu wa rejea (references) ya mada yake.
Angekuwa amefukunyua huko tff na kupata vithibitisho, nadhani angeweza itetea vizuri mada yake.
 
Mkuu acha unafiki na uongo mzee, hizo kampuni ni kampuni gani? Na kwanini hazisemi zenyewe uje kusema wewe? Wakati ligi yetu ipo takataka walikuwa wapi? Wabongo maneno mengi tumeshazoea
 
Tafiti gani zimeonyesha hivyo chief ??
 
Hivi wewe unajua bingwa wa vpl anapata sh ngapi kwa mdhamini mkuu vodacom?
 
Hayo makampuni mbona hayakuomba tenda ilipotangazwa ??
 
Wewe kuwa maskini haihalalishi mkeo kugongwa nje ili alete pesa ya kula nyumbani.
 
Hawezi kukuelewa,nguruwe akipewa chakula akashiba basi haihitaji jengine
 
Nyie mleteni mtu ambae yuko tayari kutoa bilioni 22 kwa mkataba wa miaka mitatu
 
Uhuru unao Kuna muda inatakiwa ujifunze kuangalia jambo kwa maslahi mapana sana ya vilabu na maendeleo ya sokaView attachment 1801962
Wewe unakuja na data mwezio anakurupuka halafu anajidai ana hoja, achana nae, ligi yetu zamani pesa za zawadi walikuwa wanapata watatu wa juu saivi wanapata hadi wanaoshuka daraja
 
Kuna mtu anaita wengine vichaa na mediocre wakati yeye mwenyewe hawezi kuleta rejea za kile anachokitetea.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Eti jinsi azam atakavyopiga hela, huyo jamaa alisema azama ana wateja 1000000 lakini ukweli upo tcra walisema nchi nzima madish hai ni laki 4 tu sasa hayo laki 4 gawanya kwa star times, azam dstv ting nk
 
Upo sawa kweli kichwani?Mimi ni Nani Hadi PCCB wanikamate kwa sababu ya tenda ya Azam na TFF.

Gari moja la Outside broadcasting linagharimu mpaka milioni 500,ili kuwe na ufanisi kwenye kurusha matangazo yanatakiwa magari zaidi ya kumi kwenye mechi zote camera za kutosha,uwanja mmoja tu unahitaji kamera zaidi ya sita hapa ujue siyo camera ya simu maana nahisi unaweza kufikiri wanapiga picha kwa Tecno za laki moja moja,magari mawili la kurusha matangazo na kingine la kubeba wafanyakazi nk, wafanyakazi zaidi ya kumi,Kuna wafanyakazi studio (mafundi),Kuna wachambuzi,Kuna watangazaji wa uwanjani nk.


Kwa gharama hizo umpe mtu tenda ya mwaka mmoja au miwili!

Haya mambo ni makubwa kwako achana nayo,nenda kwenye page ya Hamisa Mobeto ukaangalie mapaja yake.
 
Pia huna lolote unalolijia maana hujui hata Kama tenda ilitangazwa,Sasa Kama hufuatilii mambo utaweza kweli kujua mambo ya udhamini,utangazaji nk?
 
Majini ya Bakhresa Ni makali Sana, umeaga kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…