Nyuma ya Pazia; TFF -AZAM TV Haki ya Matangazo

Ningekuwa Azam natoa pesa zangu mbaki na ligi zenu

Tatizo wabongo ni ishu sana kueleweshwa hii ndiyo shida.
Sote tunatambua mchango wa AZAM. Lakini hoja hapa sio kutambua mchango wake, hoja hapa ni uhalali wa miongozo na kanuni kwa kuzingatia contract duration. Haya mambo enzi ya mwendazake yasingefanyika
 

Wewe ni tatizo. Una reasoning ya ajabu and very subjective. Na haujui lolote kuhusu manunuzi
 
Unapendekeza nini hasa?
 
Huyu ni shabiki wa simba ambae amezoea kusema MO ile bil 20 kwa raha simba inayotupa
 
Hoja imekaa kimajungu zaidi. Inawezekana mleta uzi ni mtu wa kampuni ambayo haijajipanga ila inatamani sana kupata mkataba na TFF.

Uzuri ni kuwa ukikosa mkataba na shirikisho unaweza kuingia na vilabu na ukatangaza biashara zako.

Azam TV wanao utayari hao wengine kujitokeza huwa wanagwaya.
 
Mleta mada anaishambulia TFF kwa hoja ya udhamini wao. Ni wale kwenye makundi ya whatsapp huwa wanamshambulia sana Karia.

Huwezi kuwa na TFF isiwe na mashabiki wa Yanga au Simba kwa Tanzania yetu.
 
Na ndiyo maana tunasema kuanzia Wizara ya Habari na Michezo pamoja na TFF wafanyiwe special Audit.

Na haya mambo kwa awamu ya 5 tungekuwa tunaongea Mengine. Yaani taasisi za umma zinaongozwa na watu wa hovyo sana
Wewe ulie makini unaongoza kitu gani au taasisi gani?
 
Wewe umeweka mezani bilioni ngapi?
 
Hapana hatuwezi enda hivihivi, eti ligi ilikuwa haijulikani.
Sasa ishajulikana si kwamba Azam hajafaidika, kapata faida ndio maana kaja kijanja na miaka 10.
Wewe ulikatazwa kuja kijanja kijanja na miaka 20?
 
Kwa mfano dau walilokua wameweka Startimes na Startv haifikii hata nusu ya dau la Azam Tv.
Hao TING dau lao ndo lilikua vichekesho kabisaaa...!!!
 
Kwa nini hao waume zako dstv wasiweke mpunga wa maana mezani kama wanazo?
 
Huo ushindani wa ligi unaongezeka vipi ikiwa Azam kapewa pin ya 10 years?

Maneno kama Akili ndogo au kutafuta kazi ya uchambuzi haina uhusiano na Mjadala huu.
Kwani ushindani unaletwa na nini
 
Mtoa mada na waliokutuma kama mna pesa za maana si mkafadhi Yanga,majimaji nk mbona hatuwaoni huko?

Au mbona haufadhili ligi kuu kama voda Ili upige pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…