Nyuma ya pazia yanayoendelea sakata la Match ya Derby kuahirishwa

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Niseme tu Meza mliyotikisa Round hii Nyie Bodi ya Ligi ilikua na vinywaji vya gharama.
Screenshot_20250324-201437~2.jpg
 
Sheria na Kanuni zifuatwe kwa 100% kila mmoja aadhibiwe anavyostahili.

Yanga kuweka makomandoo + manager wa uwanja = Adhabu na faini

Simba kutishia kugomea mchezo halali kwa sababu zilizo nje ya kanuni na zisizokuwa na misingi ya kikanuni = Adhabu kulimwa alama 3 na magoli 3 ambazo watapatiwa Yanga baada ya mchezo kuahirishwa kwa sababu yao.

Bodi ya Ligi kuahirishwa mchezo bila kuzingatia kanuni na miongozo ya Ligi = Uongozi (Kasongo + Semguto) Wakae pembeni
 
Makomando wa Yanga ndio wanakaa na funguo za uwanja wa Taifa?
 
Niseme tu Meza mliyotikisa Round hii Nyie Bodi ya Ligi ilikua na vinywaji vya gharama.View attachment 3281907

yanga yupo mstari wa mbele kabisa katika kuokoa mchezo wa mpira wa miguu aendelee kukataa kucheza mazima uone upuuzi walioufanya bodi kama utajirudia huko mbeleni

Sheria na Kanuni zifuatwe kwa 100% kila mmoja aadhibiwe anavyostahili.

Yanga kuweka makomandoo + manager wa uwanja = Adhabu na faini

Simba kutishia kugomea mchezo halali kwa sababu zilizo nje ya kanuni na zisizokuwa na misingi ya kikanuni = Adhabu kulimwa alama 3 na magoli 3 ambazo watapatiwa Yanga baada ya mchezo kuahirishwa kwa sababu yao.

Bodi ya Ligi kuahirishwa mchezo bila kuzingatia kanuni na miongozo ya Ligi = Uongozi (Kasongo + Semguto) Wakae pembeni
Yanga mnajitekenya na kucheka wenyewe. Nyie mnawaza to pwenti tatu, hamuliangalii hili suala kwa upana wake.

Kikosi cha Simba kina thamani ya bilioni kadhaa. Hauwezi kupeleka kikosi kicheze mechi katika mazingira hatarishi ambayo hata wenye mamlaka wameonekana kushindwa kuyadhibiti na dalili za wazi kuonekana kwamba kuna uhuni zaidi ulikuwa mbele unaenda kufanyika siku ya mechi.

Siku ya mechi lingeweza kutokea tukio kubwa zaidi likafilisi hata kampuni ya bima inayowadhamini wachezaji na watendaji wa Simba. Mmefikiria hayo yote?
 
Back
Top Bottom