Nyuma ya pazia yanayoendelea sakata la Match ya Derby kuahirishwa

Nyuma ya pazia yanayoendelea sakata la Match ya Derby kuahirishwa

Ila mkishajua huo ukweli hamtakiwi kushangaa pale busara inapotumika katika mpira.

Unaambiwa Yanga haikutakiwa hata kushiriki ligi kuu msimu huu maana walivunja kanuni mwanzoni mwa msimu kwa kutosajili timu ya vijana lakini BUSARA ikatumika!
Walitakiwa wasishiriki zifuatwe kanuni.
Lazima tupate mahali pa kuanzia na timu za kuanza nazo.
Ikiwa Yanga, Simba au Azam sawa tu.
 
Simba hana kosa kt hili, kutishia kutocheza sio kutocheza, inaweza kutishia na bado wakacheza, so kosa la simba halikukamilika 100%. Wanaweza kusema vyovyote na wakajitoa kwenye kosa hili.. bodi ya ligi ndo ibebe mzigo huu wote.
Wewe Kaa mbali na mambo ya kisheria,,barua ya Simba ndio inawafunga walisema awatocheza mechi iyo,,kule cas wanachoangalia ni evidence isiyokuwa na shaka ayo mambo ya kutishia mnabaki nayo nyie mashabiki uko!
 
Ila kwa ufahamu wangu, TFF hawana hiyo adhabu ya kucheza bila mashabiki na pia walioleta hii sintofahamu siyo mashabiki bali ni watendaji wa Yanga na Uwanja.

Watendaji wa yanga ndio wanakaa na funguo za uwanja ?

je Simba iliwaambia wenye uwanja ama meneja wa uwanja kwamba tunakuja kufanya mazoezi?
 
Walitakiwa wasishiriki zifuatwe kanuni.
Lazima tupate mahali pa kuanzia na timu za kuanza nazo.
Ikiwa Yanga, Simba au Azam sawa tu.
Ndiyo hivyo sasa. Umepewa wewe favor ukaikubali kwa mikono miwili, kwa hiyo mwenzako naye akipewa unayodhani ni favor inabidi uwe mpole tu.
 
Watendaji wa yanga ndio wanakaa na funguo za uwanja ?

je Simba iliwaambia wenye uwanja ama meneja wa uwanja kwamba tunakuja kufanya mazoezi?
Simba inashiriki mashindano ya ndani na nje na inaifuata hiyo kanuni kila siku ikiwa mwenyeji na ikiwa mgeni, unataka kusema Simba haijui kanuni inataka nini?

Kujificha kwenye chaka la funguo anashika nani hakuwezi kuwasaidia kitu.
 
Simba inashiriki mashindano ya ndani na nje na inaofuata hiyo kanuni kila siku, unataka kusema Simba haijui kanuni inataka nini?

Badala ya kujibu swali unauliza swali

Hiyo kanuni simba ameijua msimu huu?

Mbona misimu iliyopita hakwenda kufanya mazoezi pale taifa kabla hajacheza na yanga ?

Mwaka huu pia simba kacheza na azam hapo taifa , je walienda kufanya mazoezi ?

Simba amecheza na yanga pia msimu huu , je yanga alikwenda taifa kufanya mazoezi?
 
Upuuzi mtupu.. Ifike mahali walau tuiokoe michezo na hizi siasa za kijinga
Kuokoa mpira wetu ni kufuata kanuni za mpira zilizowekwa na mamlaka za mpira na kuacha ujinga unaoitwa Busara, Bahati mbaya sana Maamlaka za mpira zimekua butu kwenye ishu ya Simba na Yanga. Hapakua na kanuni inayoamrisha kughairisha Derby ya tar 8 kisa timu mwenyeji kazuiliwa kufanya mazoezi
 
Badala ya kujibu swali unauliza swali

Hiyo kanuni simba ameijua msimu huu?

Mbona misimu iliyopita hakwenda kufanya mazoezi pale taifa kabla hajacheza na yanga ?

Mwaka huu pia simba kacheza na azam hapo taifa , je walienda kufanya mazoezi ?

Simba amecheza na yanga pia msimu huu , je yanga alikwenda taifa kufanya mazoezi?
Nakujibu kwa maswali kwa sababu kwa maswali unayouliza ni wazi haujui unachojadili. Tuishie hapo tafadhali.
 
Nakujibu kwa maswali kwa sababu kwa maswali unayouliza ni wazi haujui unachojadili. Tuishie hapo tafadhali.

Jibu maswali haya kwanza, usikimbie

Je Hiyo kanuni simba ameijua msimu huu?

Mbona misimu iliyopita hakwenda kufanya mazoezi pale taifa kabla hajacheza na yanga ?

Mwaka huu pia simba kacheza na azam hapo taifa , je walienda kufanya mazoezi ?

Simba amecheza na yanga pia msimu huu , je yanga alikwenda taifa kufanya mazoezi?
 
Jibu maswali haya kwanza, usikimbie

Je Hiyo kanuni simba ameijua msimu huu?

Mbona misimu iliyopita hakwenda kufanya mazoezi pale taifa kabla hajacheza na yanga ?

Mwaka huu pia simba kacheza na azam hapo taifa , je walienda kufanya mazoezi ?

Simba amecheza na yanga pia msimu huu , je yanga alikwenda taifa kufanya mazoezi?
Yaani hapo unajiona unauliza maswali ya maaaana kumbe ungejua!
 
Wewe Kaa mbali na mambo ya kisheria,,barua ya Simba ndio inawafunga walisema awatocheza mechi iyo,,kule cas wanachoangalia ni evidence isiyokuwa na shaka ayo mambo ya kutishia mnabaki nayo nyie mashabiki uko!
Kwamba sheria unaijua wew peke yako? CAS kwa kesi ipi?? Simba walitishia kufanya kosa na itabaki hivyo,
Badala ya kujibu swali unauliza swali

Hiyo kanuni simba ameijua msimu huu?

Mbona misimu iliyopita hakwenda kufanya mazoezi pale taifa kabla hajacheza na yanga ?

Mwaka huu pia simba kacheza na azam hapo taifa , je walienda kufanya mazoezi ?

Simba amecheza na yanga pia msimu huu , je yanga alikwenda taifa kufanya mazoezi?
Swali rahisi ni kanuni hiyo ipo au haipo? Lini wamefuata hiyo kanuni na lini hawajafuata hiyo kanuni halina mantiki.
 
Yanga ikatae kabisa.
Wakatwe points na kushushwa daraja wadau wake tupo tayari kwa hilo.
Ikifanikiwa zoezi hili upuuzi huu wa kutumia busara isiyo busara badala ya kutumia kanuni utaisha.
Yanga italiokoa soka la Tanzania.
hivyo hivyo yaani mbona hao wanaojiita tff na mafala wengine wataipata akili
 
Yanga mnajitekenya na kucheka wenyewe. Nyie mnawaza to pwenti tatu, hamuliangalii hili suala kwa upana wake.

Kikosi cha Simba kina thamani ya bilioni kadhaa. Hauwezi kupeleka kikosi kicheze mechi katika mazingira hatarishi ambayo hata wenye mamlaka wameonekana kushindwa kuyadhibiti na dalili za wazi kuonekana kwamba kuna uhuni zaidi ulikuwa mbele unaenda kufanyika siku ya mechi.

Siku ya mechi lingeweza kutokea tukio kubwa zaidi likafilisi hata kampuni ya bima inayowadhamini wachezaji na watendaji wa Simba. Mmefikiria hayo yote?
bichwa empty wewe...
 
Back
Top Bottom