Nyuma ya pazia yanayoendelea sakata la Match ya Derby kuahirishwa

Yanga mnajitekenya na kucheka wenyewe. Nyie mnawaza to pwenti tatu, hamuliangalii hili suala kwa upana wake.

Kikosi cha Simba kina thamani ya bilioni kadhaa. Hauwezi kupeleka kikosi kicheze mechi katika mazingira hatarishi ambayo hata wenye mamlaka wameonekana kushindwa kuyadhibiti na dalili za wazi kuonekana kwamba kuna uhuni zaidi ulikuwa mbele unaenda kufanyika siku ya mechi.

Siku ya mechi lingeweza kutokea tukio kubwa zaidi likafilisi hata kampuni ya bima inayowadhamini wachezaji na watendaji wa Simba. Mmefikiria hayo yote?
Tukio gani hilo lingetokea hebu litaje, inaonekana ulikuwa unalifahamu
 
Mabausa wa Yanga kuendeleza uhuni waliouanza usiku ule. Waulize wao walipanga kufanya nini. Ongezea pia kumweka mfukoni mwamuzi wa mchezo kama mlivyofanya kwa Kayoko.
 
Aisee, hivi huwa unafatilia hata kidogo michezo ya kimataifa, hata CAF champions tu sometimes huwa zinazuka vurugu zaidi ya hizo na mechi inapigwa
 
CAF haiwezi kuruhusu mechi kuchezwa kama hali ya usalama inaonekana haiko vizuri na mamlaka zinazohusika zinaonekana kuzidiwa nguvu au haziko tayari kugarantii usalama.
 
Una mfano wowote wa mechi iliyoahirishwa na CAF kwasababu ya hatari ya kiusalama zinazotokana na mashabiki?
 
CAF haiwezi kuruhusu mechi kuchezwa kama hali ya usalama inaonekana haiko vizuri na mamlaka zinazohusika zinaonekana kuzidiwa nguvu au haziko tayari kugarantii usalam
Sawa, ndo maana nikauliza kama huwa unafatilia, lakini pia bodi ya ligi kinawazuia kitu gani kutoa maamuzi ya mechi iliyoahirishwa mpaka sasa!!?,kama kulikuwa na uvunjifu wa amani kweli kwa tafsiri yako kama unavyosema
 
Una mfano wowote wa mechi iliyoahirishwa na CAF kwasababu ya hatari ya kiusalama zinazotokana na mashabiki?
Huyu haelewi kitu,yani sababu ambazo zinatatulika ndo zisababishe mechi kuahirishwa!!!?.

Achukulie hata mfano mdogo tu uliotokea juzi kati Misri Al ahly kashindwa kuleta timu uwanjani kwa sababu sijui hawamtaki refa kapokonywa points 3
 
Tukio la Al Ahly/Zamalek halifanani kabisa na tukio la Simba/Yanga
 
Mkianzaga kuuliza maswali kama haya najua mnataka kuleta ubishani wa vijiweni.
Umehitimisha kuwa ubishani wa vijiweni na sio mjadala wa kujibishana kwa hoja, mbona unaanzisha hoja halafu unaonekana muoga wa kuitetea hoja yako?. Nataka kujua ni mechi ipi ambayo watendaji wa timu imesababisha taharuki.
1) watendaji hao ni wakina nani na wa timu gani?
2) wamefanya lipi ambalo limeleta taharuki?
3) hao watendaji wana wadhifa / cheo kipi kwenye hiyo timu?
 
Sina muda kwa sasa wa kuendekeza mabishano ya kijiweni. Ningekuwa nao unanijua vizuri, ningeenda na wewe hadi ungeomba poo kama kawaida yako.
 
CAF haiwezi kuruhusu mechi kuchezwa kama hali ya usalama inaonekana haiko vizuri na mamlaka zinazohusika zinaonekana kuzidiwa nguvu au haziko tayari kugarantii usalama.

Caf inasemaga mechi ichezwe bila mashabiki ila hawahairishi mechi kwa sababu za kijinga kama kutofanya mazoezi
 
Sheria na Kanuni zifuatwe kwa 100% kila mmoja aadhibiwe anavyostahili.

Yanga kuweka makomandoo + manager wa uwanja = Adhabu na faini

Simba kutishia kugomea mchezo halali kwa sababu zilizo nje ya kanuni na zisizokuwa na misingi ya kikanuni = Adhabu kulimwa alama 3 na magoli 3 ambazo watapatiwa Yanga baada ya mchezo kuahirishwa kwa sababu yao.

Bodi ya Ligi kuahirishwa mchezo bila kuzingatia kanuni na miongozo ya Ligi = Uongozi (Kasongo + Semguto) Wakae pembeni
Ni ukweli Yanga wanamuogopa mnyama mpaka wanalilia point za mezani kama wanawake, ila Kwa team yenye MPANZU lazima ulilie point
 
Sheria na Kanuni zifuatwe kwa 100% kila mmoja aadhibiwe anavyostahili.

Yanga kuweka makomandoo + manager wa uwanja = Adhabu na faini

Simba kutishia kugomea mchezo halali kwa sababu zilizo nje ya kanuni na zisizokuwa na misingi ya kikanuni = Adhabu kulimwa alama 3 na magoli 3 ambazo watapatiwa Yanga baada ya mchezo kuahirishwa kwa sababu yao.

Bodi ya Ligi kuahirishwa mchezo bila kuzingatia kanuni na miongozo ya Ligi = Uongozi (Kasongo + Semguto
Sheria na Kanuni zifuatwe kwa 100% kila mmoja aadhibiwe anavyostahili.

Yanga kuweka makomandoo + manager wa uwanja = Adhabu na faini

Simba kutishia kugomea mchezo halali kwa sababu zilizo nje ya kanuni na zisizokuwa na misingi ya kikanuni = Adhabu kulimwa alama 3 na magoli 3 ambazo watapatiwa Yanga baada ya mchezo kuahirishwa kwa sababu yao.

Bodi ya Ligi kuahirishwa mchezo bila kuzingatia kanuni na miongozo ya Ligi = Uongozi (Kasongo + Semguto) Wakae pembeni
Kanuni gani itatumika kuwapokonya simba point ,na sana I za simba kupokonywa point
 
Back
Top Bottom