Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 508
- 711
Tukio gani hilo lingetokea hebu litaje, inaonekana ulikuwa unalifahamuYanga mnajitekenya na kucheka wenyewe. Nyie mnawaza to pwenti tatu, hamuliangalii hili suala kwa upana wake.
Kikosi cha Simba kina thamani ya bilioni kadhaa. Hauwezi kupeleka kikosi kicheze mechi katika mazingira hatarishi ambayo hata wenye mamlaka wameonekana kushindwa kuyadhibiti na dalili za wazi kuonekana kwamba kuna uhuni zaidi ulikuwa mbele unaenda kufanyika siku ya mechi.
Siku ya mechi lingeweza kutokea tukio kubwa zaidi likafilisi hata kampuni ya bima inayowadhamini wachezaji na watendaji wa Simba. Mmefikiria hayo yote?
Mabausa wa Yanga kuendeleza uhuni waliouanza usiku ule. Waulize wao walipanga kufanya nini. Ongezea pia kumweka mfukoni mwamuzi wa mchezo kama mlivyofanya kwa Kayoko.Tukio gani hilo lingetokea hebu litaje, inaonekana ulikuwa unalifahamu
Aisee, hivi huwa unafatilia hata kidogo michezo ya kimataifa, hata CAF champions tu sometimes huwa zinazuka vurugu zaidi ya hizo na mechi inapigwaMabausa wa Yanga kuendeleza uhuni waliouanza usiku ule. Waulize wao walipanga kufanya nini. Ongezea pia kumweka mfukoni mwamuzi wa mchezo kama mlivyofanya kwa Kayoko.
CAF haiwezi kuruhusu mechi kuchezwa kama hali ya usalama inaonekana haiko vizuri na mamlaka zinazohusika zinaonekana kuzidiwa nguvu au haziko tayari kugarantii usalama.Aisee, hivi huwa unafatilia hata kidogo michezo ya kimataifa, hata CAF champions tu sometimes huwa zinazuka vurugu zaidi ya hizo na mechi inapigwa
Una mfano wowote wa mechi iliyoahirishwa na CAF kwasababu ya hatari ya kiusalama zinazotokana na mashabiki?CAF haiwezi kuruhusu mechi kuchezwa kama hali ya usalama inaonekana haiko vizuri na mamlaka zinazohusika zinaonekana kuzidiwa nguvu au haziko tayari kugarantii usalama.
Sawa, ndo maana nikauliza kama huwa unafatilia, lakini pia bodi ya ligi kinawazuia kitu gani kutoa maamuzi ya mechi iliyoahirishwa mpaka sasa!!?,kama kulikuwa na uvunjifu wa amani kweli kwa tafsiri yako kama unavyosemaCAF haiwezi kuruhusu mechi kuchezwa kama hali ya usalama inaonekana haiko vizuri na mamlaka zinazohusika zinaonekana kuzidiwa nguvu au haziko tayari kugarantii usalam
Huyu haelewi kitu,yani sababu ambazo zinatatulika ndo zisababishe mechi kuahirishwa!!!?.Una mfano wowote wa mechi iliyoahirishwa na CAF kwasababu ya hatari ya kiusalama zinazotokana na mashabiki?
Taharuki haikusababishwa na mashabiki bali na watendaji wa timu pinzani.Una mfano wowote wa mechi iliyoahirishwa na CAF kwasababu ya hatari ya kiusalama zinazotokana na mashabiki?
Tukio la Al Ahly/Zamalek halifanani kabisa na tukio la Simba/YangaHuyu haelewi kitu,yani sababu ambazo zinatatulika ndo zisababishe mechi kuahirishwa!!!?.
Achukulie hata mfano mdogo tu uliotokea juzi kati Misri Al ahly kashindwa kuleta timu uwanjani kwa sababu sijui hawamtaki refa kapokonywa points 3
Yanga Kuna watendaji wanaoitwa makomando?Taharuki haikusababishwa na mashabiki bali na watendaji wa timu pinzani.
Unazungumzia taharuki katika mchezo upi huo ambao umesababishwa na watendaji wa timu pinzani?Taharuki haikusababishwa na mashabiki bali na watendaji wa timu pinzani.
Simba ilifika uwanjani!!?Tukio la Al Ahly/Zamalek halifanani kabisa na tukio la Simba/Yanga
Kwani mimi nimeongelea makomando au watendaji?Yanga Kuna watendaji wanaoitwa makomando?
Daaaah😄😄 chizi sana we jamaa... eti bajaji siti ya mbele... hahaha... nilipanda majuzi nikiwa DaresalamaMkuu mbona umeandika kama unakimbizwa au upo kwenye bajaji siti ya mbele? Umeandika nini sasa hapo Juu?
Unazungumzia taharuki katika mchezo upi huo ambao umesababishwa na watendaji wa timu pinzani?
Mkianzaga kuuliza maswali kama haya najua mnataka kuleta ubishani wa vijiweni.Simba ilifika uwanjani!!?
Umehitimisha kuwa ubishani wa vijiweni na sio mjadala wa kujibishana kwa hoja, mbona unaanzisha hoja halafu unaonekana muoga wa kuitetea hoja yako?. Nataka kujua ni mechi ipi ambayo watendaji wa timu imesababisha taharuki.Mkianzaga kuuliza maswali kama haya najua mnataka kuleta ubishani wa vijiweni.
Sina muda kwa sasa wa kuendekeza mabishano ya kijiweni. Ningekuwa nao unanijua vizuri, ningeenda na wewe hadi ungeomba poo kama kawaida yako.Umehitimisha kuwa ubishani wa vijiweni na sio mjadala wa kujibishana kwa hoja, mbona unaanzisha hoja halafu unaonekana muoga wa kuitetea hoja yako?. Nataka kujua ni mechi ipi ambayo watendaji wa timu imesababisha taharuki.
1) watendaji hao ni wakina nani na wa timu gani?
2) wamefanya lipi ambalo limeleta taharuki?
3) hao watendaji wana wadhifa / cheo kipi kwenye hiyo timu?
CAF haiwezi kuruhusu mechi kuchezwa kama hali ya usalama inaonekana haiko vizuri na mamlaka zinazohusika zinaonekana kuzidiwa nguvu au haziko tayari kugarantii usalama.
Ni ukweli Yanga wanamuogopa mnyama mpaka wanalilia point za mezani kama wanawake, ila Kwa team yenye MPANZU lazima ulilie pointSheria na Kanuni zifuatwe kwa 100% kila mmoja aadhibiwe anavyostahili.
Yanga kuweka makomandoo + manager wa uwanja = Adhabu na faini
Simba kutishia kugomea mchezo halali kwa sababu zilizo nje ya kanuni na zisizokuwa na misingi ya kikanuni = Adhabu kulimwa alama 3 na magoli 3 ambazo watapatiwa Yanga baada ya mchezo kuahirishwa kwa sababu yao.
Bodi ya Ligi kuahirishwa mchezo bila kuzingatia kanuni na miongozo ya Ligi = Uongozi (Kasongo + Semguto) Wakae pembeni
Sheria na Kanuni zifuatwe kwa 100% kila mmoja aadhibiwe anavyostahili.
Yanga kuweka makomandoo + manager wa uwanja = Adhabu na faini
Simba kutishia kugomea mchezo halali kwa sababu zilizo nje ya kanuni na zisizokuwa na misingi ya kikanuni = Adhabu kulimwa alama 3 na magoli 3 ambazo watapatiwa Yanga baada ya mchezo kuahirishwa kwa sababu yao.
Bodi ya Ligi kuahirishwa mchezo bila kuzingatia kanuni na miongozo ya Ligi = Uongozi (Kasongo + Semguto
Kanuni gani itatumika kuwapokonya simba point ,na sana I za simba kupokonywa pointSheria na Kanuni zifuatwe kwa 100% kila mmoja aadhibiwe anavyostahili.
Yanga kuweka makomandoo + manager wa uwanja = Adhabu na faini
Simba kutishia kugomea mchezo halali kwa sababu zilizo nje ya kanuni na zisizokuwa na misingi ya kikanuni = Adhabu kulimwa alama 3 na magoli 3 ambazo watapatiwa Yanga baada ya mchezo kuahirishwa kwa sababu yao.
Bodi ya Ligi kuahirishwa mchezo bila kuzingatia kanuni na miongozo ya Ligi = Uongozi (Kasongo + Semguto) Wakae pembeni