Nyuma ya pazia yanayoendelea sakata la Match ya Derby kuahirishwa

Mungu kaepusha madhara. Inaelekea huo mchezo ungechezwa kuna madhara yangetokea. Hivyo, nashauri tu tarehe nyingine ipangwe mpira uchezwe. Tena wapeleke uwanja mwingine.
 
Caf inasemaga mechi ichezwe bila mashabiki ila hawahairishi mechi kwa sababu za kijinga kama kutofanya mazoezi
Ila kwa ufahamu wangu, TFF hawana hiyo adhabu ya kucheza bila mashabiki na pia walioleta hii sintofahamu siyo mashabiki bali ni watendaji wa Yanga na Uwanja.
 
Mungu kaepusha madhara. Inaelekea huo mchezo ungechezwa kuna madhara yangetokea. Hivyo, nashauri tu tarehe nyingine ipangwe mpira uchezwe. Tena wapeleke uwanja mwingine.
Watu hawataki kuliona hilo, wanachukulia poa tu. Simba na Yanga hawajawahi kukutana miaka ya hivi karibuni katika mazingira ya ushindani kama ya kipindi hiki.
 
Ni ukweli Yanga wanamuogopa mnyama mpaka wanalilia point za mezani kama wanawake, ila Kwa team yenye MPANZU lazima ulilie point
Mara ya mwisho Simba kuifunga Yanga ni lini!!!? Hadi useme anaogopa, hebu nikumbushe
 
Mungu kaepusha madhara. Inaelekea huo mchezo ungechezwa kuna madhara yangetokea. Hivyo, nashauri tu tarehe nyingine ipangwe mpira uchezwe. Tena wapeleke uwanja mwingine.
Mmeshaanza kudhania dhania tu kwenye mambo ya msingi, Hivi mnajua watu mmewapa hasara kiasi gani lakini
 
Makomando wa Yanga ndio wanakaa na funguo za uwanja wa Taifa?
Shida yenu ni hapa mnachagua mnavyovipenda mkiamua kutatua tatueni yote.Tuseme pamoja makomandoo wabaki jeshini mpirani hatuwataki.Makosa ni mengi lakini usipitaja chanzo ambao ni hao hutatatua tatizo kamwe.
 
Upuuzi mtupu.. Ifike mahali walau tuiokoe michezo na hizi siasa za kijinga
Mshana Jr hivi mtu kama Mzee Mguto anachaguliwaje na wana mpira ili aongoze pale? Mtu kapitwa na wakati na akili imejaa uzamani vile unampaje nafasi aongoze biashara kubwa hii ya mpira wa kisasa? Hizi timu za ligi kuu ni kama zimejitaia tu haya mambo ya kipuzi.
 
yanga yupo mstari wa mbele kabisa katika kuokoa mchezo wa mpira wa miguu aendelee kukataa kucheza mazima uone upuuzi walioufanya bodi kama utajirudia huko mbeleni
Yanga ikatae kabisa.
Wakatwe points na kushushwa daraja wadau wake tupo tayari kwa hilo.
Ikifanikiwa zoezi hili upuuzi huu wa kutumia busara isiyo busara badala ya kutumia kanuni utaisha.
Yanga italiokoa soka la Tanzania.
 
Coastal Union FC wenyewe walimktaa kwenye kura za kuchafua viongozi wao iweje awe na sifa za kuongoza chombo kikubwa Kama bodi ya ligi?
 
Mnataka muongozwe na vijana halafu vijana wenyewe kina Hersi wanaovunja kanuni na taratibu za mpira na kupelekwa CAS kila siku.

Hamtaki busara itumike ila ukiangalia nchi yenyewe tu inaendeshwa zaidi kwa busara kuliko sheria.
 
CAF haiwezi kuruhusu mechi kuchezwa kama hali ya usalama inaonekana haiko vizuri na mamlaka zinazohusika zinaonekana kuzidiwa nguvu au haziko tayari kugarantii usalama.
Simba walishawahi hadi kuwasha moto uwanjani kwenye mechi ya CAF south africa na bado mechi ilipigwa
 
Ndiyo maana nchi haina maendeleo makubwa katika kila nyanja.
Ila mkishajua huo ukweli hamtakiwi kushangaa pale busara inapotumika katika mpira.

Unaambiwa Yanga haikutakiwa hata kushiriki ligi kuu msimu huu maana walivunja kanuni mwanzoni mwa msimu kwa kutosajili timu ya vijana lakini BUSARA ikatumika!
 
Simba hana kosa kt hili, kutishia kutocheza sio kutocheza, inaweza kutishia na bado wakacheza, so kosa la simba halikukamilika 100%. Wanaweza kusema vyovyote na wakajitoa kwenye kosa hili.. bodi ya ligi ndo ibebe mzigo huu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…