Mguto sijui Mnguto na mwenzie Almasi Kasongo wapishe wakae wengineUpuuzi mtupu.. Ifike mahali walau tuiokoe michezo na hizi siasa za kijinga
Jina lako linaonyesha itakuwa una injini mbili, dushelele na papuch. Unahitaji maji ya kutosha kupoza injini zote mbilibora hiyo hewa kwenye tairi inasaidia tairi kujongea,wewe bichwa ni empty kabisa
Sio sisi mliwafikiria mashabiki wenu hata kidogo waliotoka mikoani huko kuja kuwapa nguvu!!?Hasara gani bana nyie? Pesa za kulipa waganga ndiyo hasara? Hamkujua kiendacho kwa mganga hakirudi?
Hakuna mshabiki wa Simba anayedai kurudishiwa nauli yakeSio sisi mliwafikiria mashabiki wenu hata kidogo waliotoka mikoani huko kuja kuwapa nguvu!!?
Sana. Na mashabiki tunafungua kesi Kwa kutuibiaNiseme tu Meza mliyotikisa Round hii Nyie Bodi ya Ligi ilikua na vinywaji vya gharama.View attachment 3281907
ni bichwa emptyJina lako linaonyesha itakuwa una injini mbili, dushelele na papuch. Unahitaji maji ya kutosha kupoza injini zote mbili
Haya mrudishie shangazi yako simu yake. Ulimuomba simu ili uangalie katuni kumbe umeingia humu.ni bichwa empty