OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Wakuu habari,
Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari,
Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria,
Inawezekana kuna watu wenye elimu kubwa, wataalam wa saikolojia, sosholojia, sinema, siasa uchumi n.k ambao hatuwajui na hawafahamiki kwa umma na baadhi ya viongozi mbali mbali wa kisiasa, watu hawa hukaa chini na kuumiza vichwa kuilinda nchi na kiongozi aliyepo madarakani kwa kutumia akili kubwa na ustadi wa hali ya juu.
mfano kipindi cha Sakata la Trilioni 1.5, ambalo liliibuliwa na mheshimiwa Zitto, kuna watu mbali mbali walijitokeza kumsaidia Mh hayati wengine wakaanza kutoa lecture, lakini ile issue ilikuja kumalizwa ndani ya dakika 1 tu kwenye press ya kuapisha viongozi wapya kama sikosei, C.A.G alikuwepo akaulizwa je kuna pesa yeyote iliyopotea?? Akajibu hapana basi sakata likawa limeisha pale pale (je aliyeplan hii technique ni Mh Magufuli peke yake? Je kuna watu wengine ?)
Issue ya Corona mnakumbuka jinsi ambavyo Mh Magufuli ali deal nayo? Zile technique za kupereka mapapai maabara mnazikumbuka? Pengine haikuwa kweli lakini watu waliamini na kuondokana na hofu ya corona na maisha yakaendelea kama kawa (je alifikiria peke yake ? Au kuna watu wengine walimsaidia?)
Mnakumbuka issue za wananchi kuusimamisha msafara wa Mh Raisi?? Je kuna watu wanahusika kustage tukio na kuandaa movie nzima? Je Lengo ni nini??
Mnakumbuka Mange aliwahi kuitisha maandamano uchwara, siku moja kabla wazee wa kazi wakawa wanafanya usafi maeneo mbali mbali ya mijini? Mnakumbuka?? Mwisho wa siku hakuna aliyeingia bara barani wengine hawakwenda kufungua maduka kariakoo wakajifungia majumbani kwao hakuna aliyeandamana,
Nikiwaza sana hawa watu ni akina nani je wana CCM jibu ni hapana si unaona akina pole pole na Bashiru leo hii hawana Sauti, akina Makonda, Sabaya n.k hawa huenda walikuwa wanashabikia tu hawajui kuwa kuna smart people behind the presidency who think and make thiings happen??
Wakuu au nimekosea kufikiria?? Je kuna ukweli wowote?