Nyuma ya Rais kuna great thinkers ambao hutawaona majukwaani, mtandaoni au kwenye runinga. Nawaza tu

Nyuma ya Rais kuna great thinkers ambao hutawaona majukwaani, mtandaoni au kwenye runinga. Nawaza tu

Hivi mbona show kubwa kubwa anazisimamia PM hii imekaaje?
 
Machinery hii ilikuwa very strong wakati wa Nyerere..

Ukisikia neno Kada ...hawa walikuwa wanasomea kabisa hadi nje ya nchi..
Hii inatoka neno cadre.....
Walikuwa mabingwa wa propaganda na fitina za kisiasa na public manipulation of opinions..

Shida Yao wakikugeuka wanafanya mambo the opposite...kama mama Yuko nao pamoja
Hakuna atakalo shindwa
Je Yuko nao pamoja?
 
Back
Top Bottom