Nyuma ya Rais kuna great thinkers ambao hutawaona majukwaani, mtandaoni au kwenye runinga. Nawaza tu

Kama kweli wapo wanaofanya hiyo kazi, kitendo cha kusema gari ya magereza ni mbovu ili Mbowe asifikishwe Mahakamani ni cha kijinga sana. Siamini kama wamekosa kitu cha kutudanganya ili tuamini
 
Jaribu kuangalia designated survivor
Series moja inazungumzia maisha ya rais wa marekani ndio utajua ikulu wapo hao watu nadhani na hapa kwetu wata kuwepo piaa watu wanaoumiza kichwa rais aseme Nini kwa wakati gani
 
Unaweza kukuta pia kuna makada Wa chadema wanatumiwa na hao magreat thinkers kuchafua hali ya hewa
 
Raisi ni Tasisi ,Kwa hiyo wazo lako ni ukwer mtupu Kwa asilimia Mia moja .kuna kitu kwenye Taifa lolote kipo (propaganda ) ukisoma vizuri Sana ukaelewa utacheka tuuuu.
 
Sasa hivi inakuja R.P.G (Rocket Propelled Grenade) ya kuisambaratisha issue ya kujadili katiba mpya plus kuongelea kesi ya mbowe

Nayo ni mabadiriko mapya ya vifurushi
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
watu wote tutaanza kujadili vifurushi

This theory may be true wakuu

Cc
Behaviourist
Mwifwa
et al
 
Mkuu hii thread haihusiani na mambo ya utekaji
Soma uelewe
 
Wangekuepo asingeongea utumbo na kikeke,ccm kumejaa wajinga n vilaza
 
Wapo hao great thinkers wanaomshauri Rais...
 
Wangekuepo asingeongea utumbo na kikeke,ccm kumejaa wajinga n vilaza
Ndugu mteja, tumesitisha mabadiliko ya vifurushi yaliyotarajiwa kufanyika tar.16/08/2021 mpaka utakapojulishwa tena. Asante!

upo hapo mkuu πŸ˜€
 
Vifurushi kupanda vimesitishwa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Wiki nzima vinapewa promo ya kupanda, jiulize kwanini ??
Ndugu mteja, tumesitisha mabadiliko ya vifurushi yaliyotarajiwa kufanyika tar.16/08/2021 mpaka utakapojulishwa tena.
Asante!

cc: Mwifwa Behaviourist The Boss
 
State within a state
 
Dahh...ile 1.5 tr kila nikiikumbuka inaniuma kama ndo ilichukuliwa jana [emoji24][emoji24][emoji24],jamaa alikuwa anakoga pesa sio kuiba[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Hivi hiyo ingepelekwa kujenga mabweni tu kwa ajili ya watoto wa kike nafikiri nchi nzima watoto wa kike wangekuwa bweni
 
Huenda tuna watu SMART nchi hii ndio maana hamna fujo wala maandamano miaka yote

Hii inaweza kuwa ushahidi kuwa kuna ma great thinker ambao huja na plans za kutuliza mambo mabaya
Na huenda tunawajinga wengi ndo maana yote hayo hayatokei.
 
Uzi unaweza ukawa mzuri lakini wakiuingilia watu wa chadema unapoteza ladha kabisa
 
Uzi unaweza ukawa mzuri lakini wakiuingilia watu wa chadema unapoteza ladha kabisa
CHADEMA wamekata tamaaaa Kwa asilimia mi moja hawana hata direction .wapo sawa na mgonjwa ambae dactari kamuereza kuwa hutapona ........mlijimwambafwai baada ya jpm kufariki mkaanza kutikisa kiberiti ...picha likaanza kichwa kikaliwa mkafanya macofence ya kutosha tena mfululizo wiki hiii naona mmepoa ..duuuuu poleeni saana .. stupid people is chadema
 
Mkuu hats kesi ya SABAYA itatengenezwa tukio kubwa nchini alafu jamaa atahukumiwa jela miaka 2 au faini milioni 1 .Siku ya pili media,magaazeti, wananchi wako bize na hilo tukio huku SABAYA wanamchoa kiaina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…