Nyuma ya Rais kuna great thinkers ambao hutawaona majukwaani, mtandaoni au kwenye runinga. Nawaza tu



Yani kama bado mnajivunia fitina, manipulations of opinions n.k basi bado tuna Safari ndefu sana ya kufikia demokrasia ya kweli, haki na Uhuru wa maoni etc!

Yani umeandika kama vile ni mambo mazuri ya kujivunia na kuona fahari?!
 
Yani kama bado mnajivunia fitina, manipulations of opinions n.k basi bado tuna Safari ndefu sana ya kufikia demokrasia ya kweli, haki na Uhuru wa maoni etc!

Yani umeandika kama vile ni mambo mazuri ya kujivunia na kuona fahari?!

Kwenye siasa hakuna hayo unayosema

Siasa na Fitina ni mapacha
 
Quality ya thinking process ya hao "mathinker" walioko nyuma ya rais ni ya hovyo mno aisee

Yaani maamuzi yanafanyika mpaka mwananchi wa kawaida unashangaa kabisa,whats this nonsense?
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Vichwa vya train kukutwa bandarini halafu eti havina mwenyewe
 
Exactly..siasa haiko kwaajili ya kumuhurumia mtu /kundi la watu siasa ni dirty work


Watu hawajui kuwa kazi ya wanasiasa ni kufanya public opinion manipulation..
 
Nyuma ya raisi kuna vibaraka wa wazungu wanaopigana kufa na kupona kuwaua waafrika wenzao ili wamfurahishe mzungu
 
mzee huko mbali sana, hapa jana tu sakata la mbowe kuwa mahakamani alafu huku sakata la manara na simba sc/ mwamedi.
nchi ngumu sana hii[emoji1][emoji1]
Nyuma ya pazia hakuna great thinkers ila kuna vibaraka wa wazungu wanaopigana kufa na kupona mzungu afurahi
 
Hao greater think ndiyo wametengeneza case fake na ya utopolo ya ugaidi ambayo wanashindwa kuiendesha na kuishia kusingizia kuwa hakuna usafiri wa kuwaleta watuhumiwa mahakamani?
Pia hao great thinkers wamejificha kwenye mgongo wa jeshi. Ukitoa jeshi la wananchi na police hakuna kitu
 
mi nakataa na kusema hii nchi Haina magreatthinker Ila tuna magreatsinker na ndo wametufikisha hapa tulipo, hivyo unavovisema mbona haviitaji ugreatthinker.
 
Kuna nyakati hufika hizo mbinu hazifanyi kazi kabisa. Kila nikitafakari naona bila katiba mpya nyakati hizo zipo karibu saana!!
 
Kwenye siasa hakuna hayo unayosema

Siasa na Fitina ni mapacha


Hususa za bongo, kwenye nchi zenye demokrasia ya kweli wakifanyiwa hayo wananchi wakabaini ukweli huwa wanawazingua hao viongozi.

Na saingine hata hao vingiongozi kuamua kujiuzuru kwenye uongozi pale inapojulikana kuwa kuwa kuna manipulation imefanyika.
 
Hujakosea...
Naomba niishie hapo
 
Kwa yale mahojiano ya bbc hao great thinkers behind the scene waende hata veta wasomee tu hata ufundi welding
 
Manara aacha kazi simba sc, Gwajima azipomda chanjo, Manara ahamia Yanga, Gwajima aitwa na kamati kujieleza ๐Ÿ˜ƒ
Huku home umeweka umeme wa elfu tatu imekatwa elfu mbili, akili iko busy kufuatilia Manara na Gwajima Mbowe utamkumbuka lini?

If this theory is true! Then we have great thinkers, they calculated it before.

Cc Wyatt Mathewson hearly bado mnabisha?
 
You should define maana ya great thinkers? Nothing in CCM represent a thinker, leave alone great thinker, sijui simtank thinker, Hakuna! Kuna PhD za unafiki!


Wewe ndo unaona kawaida kwa kuwa huwa na majibu yako. Lakini hao watu huwa picked up out of manyโ€ฆ. Shida Ni Sisi kuwapaga matukio kwa mindi zetu. Mfano. Tukio la kupigwa risasi Lisu hali wezi kuwa la usalama kwa maana upigaji wa risasi na dereva Pia kubaki mzima Kama vile hakuwepo na Gari Halikuwa bulletproof. Mazingira na namna Sio kabisa. Lakini inawezekana pia wakasema watu watawaza kwa kutumia akili na watasema usalama hauwezi kukosa shabaha kiasi hicho. Nia yao ikiwa Ni kumtisha na kumtia kilema tu. Ingawa hii nayo haina uzito kwa mtu mwenye akili. So hawa watu ukidhani umewaelewa Kumbe ndo wao wanataka ufikirie hivyo na wapo humu wa kutosha wanachangia mnavyotaka Nyie ili wajue mind zetu
 
Raisi ni taasisi, na taasisi huundwa na departments tofauti, na kitu kingine unatakiwa kujua raisi kama mtu hupita lakini nchi hubaki na taasisi yake ya uraisi, hivyo unaweza ona kwamba nchi kama familia baba hawezi simama pekee ake au mama pekee ake na familia ikasimama, conclusively kuna watu kama baraza la mawaziri, wabunge, wasomi nguli,majeshi wote hao husimama kuizunguka tasisi moja ili iweze kusimama imara na kusonga, na laiti kama one of such department fails tasisi kama raisi inashindwa kuperform na kusimamia taifa, and what is happening in Somalia au Lebanon and Congo comes to happen.
 
Wana akili kumfikia Edward Snowden?
 
Leo anaelekea Bagamoyo kuandaa movie ya utalii, ama kweli u raisi unamambo mengi.
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Sakata la kukataa chanjo possibly ilikuwa ni movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ