Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

kila cku najaribu kukuelewesha kwamba ndoa sio kitanda tu kuna mambo kibao, afadhali hayo ya kitanda mtaeleweshana/fundishana mkaenda sawa.

Kikubwa Ndoa ni kitandani Nyamayao, swala la kitandani linapewa kipaumbele kuliko yote hayo
 
Ni kweli Geoff they ARE THERE TO STAY kwa sababu kama yalivyo mabadiliko ya dunia from ukoloni to globalization, nyumba ndogo zinaundergo mabadiliko hayo so lazima zitaendelea kubuni mbinu mpya ili tu ziendelee kuwepo so kama tunavyoona mwanzoni walianza kuvutia wanaume kwa kutoa massage na maneno mazuri na mambo ya shanga, mkatoka mbio oh mke wangu havijui hivi so it was a justification for you to have them, now utandawazi zaidi umeleta mambo ya kujiexpress nyumba ndogo wamedaka, wakaiadvertize waume kama kawa haooo wakashangilia so next time watakuja na tundu za pua....... so as you see new appertizer kila mara lazima ZISTAY tu huku mifuko ikiendelea kutobolewa!
nimekugongea SENKSI hapa!tupo pamoja mama!NYUMBA NDOGO ARE THE NECESSARY EVILS,HERE TO STAY,INEVITABLE DEVILS!
love ya!
ndo maana fl1 na nyamayao wamesema tuwe tunafanya kwa siri kubwa😀
 
Aksante Firstlady but ndo nimemwaga manyanga I feel so bad kwa sababu majitu kama sisi ndio tunachochea uonevu dhidi ya wanawake laiti tungekuwa wakali nadhani tusingekuwa tunachezewa....... Am so mad bout myself
Hongera mama, there are times when enough is just enough, and you move on with your life! there are people who are just not husband/material. God bless you and increase that confidence and courage in you!
 
]mumeo hatoki nje?/hana nyumba ndogo?[/COLOR]
if no-how do you prove?and what are you doing to make him not seeing another lady?

if anatoka-kutoka nje pekee utamwambia ana tabia mbovu?

wewe, cwezi kusemelea lijitu lizima plz, wala kulichunga! kama anae/hana ni juu yake na atumie akili zake zote alizopewa na mama/baba yake nicjue....na kama anae ndio nitasema lina tabia mbaya, y not?
 
ha ha ha!it sounds like anae!nakupongeza kwa msimamo wako love!upo strong sana.nipe namba yake nimsisitizie ahakikishe hujui,(ila aendelee)

SO,NYUMBA NDOGOOZ ARE HERE TO STAY,RIGHT?
 
Kikubwa Ndoa ni kitandani Nyamayao, swala la kitandani linapewa kipaumbele kuliko yote hayo

tatizo king'ang'anizi sana, kama ni hicho tu mbona unaogopa kuoa? hebu huyo ulienae anaekupa mpaka pacpostahili hebu kesho ututangazie ndoa hapa kama unadhani ndoa ni kitanda tu.....
 
HA HA HA HA!kumbe hajaoa huyu mzee wa tiGO?
 
kila cku najaribu kukuelewesha kwamba ndoa sio kitanda tu kuna mambo kibao, afadhali hayo ya kitanda mtaeleweshana/fundishana mkaenda sawa.
True! there is more to marriage than just sharing the bed! Especially tabia, tabia za mtu ni ngumu sana kuzibadili, kama hajkufundishwa heshima, atamdharau hata mkewe au mumewe.
 
tatizo king'ang'anizi sana, kama ni hicho tu mbona unaogopa kuoa? hebu huyo ulienae anaekupa mpaka pacpostahili hebu kesho ututangazie ndoa hapa kama unadhani ndoa ni kitanda tu.....

Hahahaha dah sasa Nyamayao haya mambo ya jicho tena wkt nastaafu
 
ha ha ha!it sounds like anae!nakupongeza kwa msimamo wako love!upo strong sana.nipe namba yake nimsisitizie ahakikishe hujui,(ila aendelee)

SO,NYUMBA NDOGOOZ ARE HERE TO STAY,RIGHT?

mbona unataka kuniudh kwa kutaka nisemelee kilichopo moyoni mwa mtu?...nitajuaje mie kama hana/ anae?....na wewe huna ruhusa ya kumsemelea mana cjakuambia anae....ninachohitaji/nachotaka/huduma zote natimiziwa, kwanini nimuhic tu kama anae japo cjaona tatizo/ishu yoyote?
 
True! there is more to marriage than just sharing the bed! Especially tabia, tabia za mtu ni ngumu sana kuzibadili, kama hajkufundishwa heshima, atamdharau hata mkewe au mumewe.
......PIA ndoa zina so many quarrels!quarrels quarrels quarrels!wanawake bana mnapenda sana quarrels!kwanin lakini?

that is why smtmz watu wanaamua kuwa na nyumba ndogo
 
mbona unataka kuniudh kwa kutaka nisemelee kilichopo moyoni mwa mtu?...nitajuaje mie kama hana/ anae?....na wewe huna ruhusa ya kumsemelea mana cjakuambia anae....ninachohitaji/nachotaka/huduma zote natimiziwa, kwanini nimuhic tu kama anae japo cjaona tatizo/ishu yoyote?
hasira za nini bana?
 
......PIA ndoa zina so many quarrels!quarrels quarrels quarrels!wanawake bana mnapenda sana quarrels!kwanin lakini?

that is why smtmz watu wanaamua kuwa na nyumba ndogo
hizo heshima na adabu, caring, concerns na starehe mnazopeleka kwa nyumba ndogo, zingekuwa zinaletwa nyumbani kungekuwa na quarrels?
 
Hahahaha dah sasa Nyamayao haya mambo ya jicho tena wkt nastaafu

ndio nikakupa mfano kwamba unae anaekupa mpaka haramu kitandani, sasa kama ndoa ni kitanda tu mbona hujamuoa?....wacha kabisa! weka akilini mwako ndoa ni zaidi ya kitanda.
 
Hili nalo kumbe somo nimekupata lakini kwa nn swala la nyumba ndogo tena linagusa hisia sana kwa wanandoa kama ndoa si kitandani tu na maswala mengineyo lakini hili la nyumba ndogo linahusiana na kitanda.
 
Kwangu mie hao twiga stars hawana nafasi,na naomba Muumba aendelee kunilinda na hila zao.So not only to stay,to me they don't even exist.
 
hizo heshima na adabu, caring, concerns na starehe mnazopeleka kwa nyumba ndogo, zingekuwa zinaletwa nyumbani kungekuwa na quarrels?
mara nyingi quarrels huanza....NYUMBA NDOGO TO FOLLOW
 
Back
Top Bottom