Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Naapa na Mungu anisaidie sitotoka nje ya ndoa yangu, I m here to make the difference.
Nimekugongea senks shemeji. I am sure your wife is very proud of you!
 
bht kashakumiminia bilauri la limbwata! HEHEHE!

Ha ha ha ha, Huwa katika maisha natafuta tofauti kabla ya kuuamua amuzi la pili, sioni tofauti ya kumega nje ya ndoa. Sioni. I cant withstand seeing my dear n lovely wife kitandani analia kwa maumivu ya ukimwi niliomletea, siwezi kbs kuona mwanangu analia atamkosa baba no I cant.
 
ndo nakwambia mie nikijua ..sijui itakuwaje teteteh
Mie sina ukoo kwetu nilizaliwa alone na wengine washakuwa vibibi rafiki

EEEE! Kwa heri!
Poa lakini ntatafuta mtu mwenye nyota kama ya kwako!
 

Na ikitokea the other way round. Wife anamegwa anakuletea ka UKIMWI?
 
nyumba ndogo ndio chanzo cha ukimwi?
 
bht kashakumiminia bilauri la limbwata! HEHEHE!

Hivi kumbe bht na nguli wamenifanyia hila, haikuwa fair competition kabisa, ndio maana i will stick with shishi hadi nitakapo kuwa kikongwe na yeye ajuza.
 

Im just referring to my situation, sijakataa kuna wanaume wanasumbua vichwa za wake zao na kufanya mambo mengi ovyo saaana tuu...but not all men are the same and so are the women, my former woman alikuwa na mdomo ambao anasema bila kufikira mara mbili, mtu unajikuta unahasira unaweza chinja mtu..alafu baadaye huyo anakimbilia 'girlfriends' hoo jamaa alinisikilizi ooh hajali ooh controlling. Jueni kunyamaza muone matunda yake, even a man that cheats gets hurt more by the silent wife than the one that opens they mouth 24/7.
 
bht kashakumiminia bilauri la limbwata! HEHEHE!

commitment tu!!! alijua alichokuwa anafanya siku ile alokula kiapo mbele ya mtumishi wa mungu!!!

men like you nguli are rare to find!!!!
 
Kuna vitu ambavyo hata kuvifikiria huwa sitaki na kimojawapo ni hiki. Mi sidhani kama small houses are here to stay, its just that watu wanajiendekeza na kutafuta gharama zingine unnecessarily. Geof watch out, especially you. (if u no wora am seying)

kweli Carmel.. mke, mchumba au girlfriend wa mtu how can she be 'here to stay??' wata stay huko huko kwa waume zao,
 
Tatizo ni nini hasa la kuwa na nyumba ndogo?

1.ni tamaa
2.wake zetu hawaturidhishi
3.tuliyotegemea kwa wake zetu hayapo
4.au staili ya kutafuta kazi au hela
5.
6.
.
.
.
.
 
nyumba ndogo ndio chanzo cha ukimwi?

That is single scenario, ziko nyingine nyingi tu. Kwa mfano kuachika mimi na wife what will happen to my kids? unajua wengi wetu tuna count madhara baada ya kutokea
 
Tatizo ni nini hasa la kuwa na nyumba ndogo?

1.ni tamaa
2.wake zetu hawaturidhishi
3.tuliyotegemea kwa wake zetu hayapo
4.au staili ya kutafuta kazi au hela
5.
6.
.
.
.
.

the answer is all of the above, different households have different problems, kila mtu anasababu zake you cant list them and expect them to apply to all!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…