Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

mie simruhusu mwenza wangu kuwa na small house na kama yeye na akili anayoijua mwenyewe ataamua kuwa naye basi afanye kwa siri kubwa ..kama nikijua mie moto wake hauzimiki .......
Nikifanya mie je ??????
 
Nguli hongera una hekima za kumwaga ..naamini mkeo anakupenda/atakupenda kama unavyomfanyia
be blessed always
ana hekima ZA KU-TAIPU!hahahahaha.ninyi wanawake ninyi?!!!!yani mtu anaandika unasema ana hekima,HOW DO YOU PROVE?hahahahaha...kweli mnapenda kudanganywa,lol
 
mie simruhusu mwenza wangu kuwa na small house na kama yeye na akili anayoijua mwenyewe ataamua kuwa naye basi afanye kwa siri kubwa ..kama nikijua mie moto wake hauzimiki .......
Nikifanya mie je ??????
hahahahahahahaha!AFANYE KWA SIRI KUBWA!wewe ni mkweli na naamini UMEOLEWA SASA!unajua kinachojiri
 
Ofcourse hana, that, i can proudly confirm! And am very thankfully for that! Justifying is not necessarry as long as nimejiridhisha na kuuachia moyo wangu uamini nachoamini. In future i cant say but so far he is mine and only mine. However,hata wakiwepo nyumba ndogo in future sitishiki, they are just mistresses who are no threat to me.

Sema mamii, wasiku tishe tishe...kama hujawahi kusikia wala kuhisi wala kumkamata kwa namna yoyote ile una haki ya ku confirm kwamba hana...
 
Hahahaha hapo mazee umegusa Ikulu ndo maana mm simwamini n'tu
hata ule mtandao wako mpwa mi nakushauri endelea nao!unaweza ukaacha wenzio wanakupigia mkeo hivi hivi!na hamna kitu wake za watu wanaona kitamu kama TIGO😀
 
mie simruhusu mwenza wangu kuwa na small house na kama yeye na akili anayoijua mwenyewe ataamua kuwa naye basi afanye kwa siri kubwa ..kama nikijua mie moto wake hauzimiki .......
Nikifanya mie je ??????

Hivi unajua ni nani anaye sababisha nyumba ndogo?
Kwa mwanaume kutafuta nyumba ndogo mwanamke unakuwa chanzo na upande wa mwanamke kuwa na serengeti boyz mwanaume ndo chanzo kaeni chini mliangalie hilo mapungufu yenu.
 
ana hekima ZA KU-TAIPU!hahahahaha.ninyi wanawake ninyi?!!!!yani mtu anaandika unasema ana hekima,HOW DO YOU PROVE?hahahahaha...kweli mnapenda kudanganywa,lol

usipate tabu its true he doesnt do that!!! and for your information, wanawake ambao waume zao ni waaminifu huwa na wao ni waaminifu, most of us!! nyie wanaume ndo huwa mnatutibua tuanaanza kufanya upumbafu huo!!!!
 
Kazi ipo, hii biashara ya nyumba ndogo haitakaa iishe, recycling.
 
ana hekima ZA KU-TAIPU!hahahahaha.ninyi wanawake ninyi?!!!!yani mtu anaandika unasema ana hekima,HOW DO YOU PROVE?hahahahaha...kweli mnapenda kudanganywa,lol

hahahah Nguli wewe ndo unashinda na mabinamu hawa naona wamepasua jipu una hekima za kutype na si za vitendo una la kusema ?????
 
Mkuu Geoff..
Literally tunakataa haya mambo, lakini ukienda kwenye reality, haya masuala ndo yanayoongoza dunia, na yanatesa about 90% ya wanaume!...Mi sitaongea sana maana nishaumizwaga sana na haya makitu!...By ze way nitawapa hapa siku moja...Nyumba ndogos seem to be permenent agenda in lyf!
 
Sema mamii, wasiku tishe tishe...kama hujawahi kusikia wala kuhisi wala kumkamata kwa namna yoyote ile una haki ya ku confirm kwamba hana...
naona wewe tuko page moja, ya nini uishi kwa wasiwasi, na wakati mume wako mwenyewe.
 
I can tell you sometimes sijui kuiga au kufuata mkumbo au ni hulka ya mtu! Mimi wangu nilikuwaga sisemi hata akirudi usiku wa manane siongei zaidi ya kuamka na kumsongea ugali ale nimnawishe maji kisha tupande kitandani tulale tena kwa vicheko na bashasha bado akaitafuta nyumba ndogo na baada ya kumfumania sijasema kitu zaidi ya kuuliza why (na jibu nisipate) sasa hii sijui ni hulka au nini mie huwa mnanichosha kabisa enyi waja!

Mj1 una uvumilivu kweli, nakufurahia kwa hilo, mie nina roho ndogo sana au cjui nisemeje lakini wakati nilipopitia purukushani za ndoa kweli kila kitu nilictisha, ckuweza hata kumfanyia lolote na roho haikunisuta kabisa mana nilikuwa naona najichosha bure kwa mtu aceridhika, hatokaa asahau kile kipindi cha miezi 6 tuliyopitia.....
 
Hivi unajua ni nani anaye sababisha nyumba ndogo?
Kwa mwanaume kutafuta nyumba ndogo mwanamke unakuwa chanzo na upande wa mwanamke kuwa na serengeti boyz mwanaume ndo chanzo kaeni chini mliangalie hilo mapungufu yenu.
hili nalo neno mpwa.
 
Fidel80 hebu acha maskhara mala msingizie ooh anakuwa kama gogo awapo kwenye majambozi ,mala hajui kupika bora nitafute kiburudisho kingine kiwe kinanipa vyote na chakula bora ..mala hana mvuto tena kama nilivyomuoa
nini maana ya ndoa ?mambo ni kukumbushana ukiona mwenzio ame-change mkumbushe wife mie napenda ukiwa hivi mbona umeacha .mme wangu mbona umeacha kunyoa O mie huwa inanimaliza kabisa nk nk
tabasamu tafadhari
 
Mj1 una uvumilivu kweli, nakufurahia kwa hilo, mie nina roho ndogo sana au cjui nisemeje lakini wakati nilipopitia purukushani za ndoa kweli kila kitu nilictisha, ckuweza hata kumfanyia lolote na roho haikunisuta kabisa mana nilikuwa naona najichosha bure kwa mtu aceridhika, hatokaa asahau kile kipindi cha miezi 6 tuliyopitia.....

Hongera sana nyamayao ukweli ni kwamba shemeji yangu huyu wako ni binadamu anayejua kafanya makosa na kukiri na zaidi ya yote kujutia na kuomba msamaha sasa wengine anafanya makosa anaona kama ni haki yake na wewe ukikasirika anachukulia ni kosa unastahili adhabu................... I wish uamuzi niliouchukua leo ningeuchukua zamani sana.
 
Ushajibiwa kwa ufasaha hapa

kwa ujinga wa mbuni nikimaanisha unamficha mkeo but GOD is seeing you tena bila chengachenga.....mbuni huficha kichwa na jimwili lake lote linaonekana
 
ana hekima ZA KU-TAIPU!hahahahaha.ninyi wanawake ninyi?!!!!yani mtu anaandika unasema ana hekima,HOW DO YOU PROVE?hahahahaha...kweli mnapenda kudanganywa,lol
Mtake radhi Nguli tafadhali!
BTW, I have noted your signature with THANKS!
 
Back
Top Bottom