Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Nguli hajashinda!yupo siriaaz na hii ishu kwasababu hataki kuifikiria kabisa kwa kichwani yake!lakini hiyo HAIKWEPEKI MAZEE!
HERE TO STAY

Unataka kusema bht amemaliza kila kitu kwa nguli? Just wait and see! LOL!
 
nyepesi nilizonazo nguli anatafuta plot KITUNDA kwa ajili ya bht!
NA UJENZI UTAANZA MARA MOJA!(i am project engineer just incase mkitaka details)

Goeff am not material..moja!!! na la pili sitakaa niwe nyumba ndogo hata siku moja...never ever in this gift of life the Almighty God Bestowered in me!!!!!!! Got that??? hahaaa unalo...utaotaaaaaaa
 
Unataka kusema bht amemaliza kila kitu kwa nguli? Just wait and see! LOL!
bht mjasiliamali!anasikilizia plot kitunda!madalali wameshatupigia simu hapa kwamba mambo ni bam bam
 
Sasa lijendi ni hivi!
nyumba ndogo ZINADUMISHA NDOA!IF YOU MUST KNOW THE TRUTH!...
(by the way umepata kiwanja cha bht huko KITUNDA😀)

nilishauri tuanze ujenzi kabla mvua hazijachanganya

Kikikosekana kule, boko vipo vitamfaa. wewe utakuwa project injinia na mimi ntakuwa projekti meneja! Hahaha! Tukutuku litakuwa na kazi ya kubeba sementi!
 
Goeff am not material..moja!!! na la pili sitakaa niwe nyumba ndogo hata siku moja...never ever in this gift of life the Almighty God Bestowered in me!!!!!!! Got that??? hahaaa unalo...utaotaaaaaaa

Hahaha! Wewe si utakuwa nyumba kubwa bana? Usijali nguli hana time na nyumba ndogo. It will be only you. LOL!
 
\

WHO TOLD YOU? We are never late! Tutakuwa bega kwa bega mpaka kieleweke.LOL!

hahaaa kazi kweli kweli!!! umenikumbusha legend wangu wa tertiary(SORE LAKINI NI OFF TOPIC) when he realized that we were bored dozn of au somo gumu alikua akituimbia nyimbo za enzi wakidai uhuru and we sang after him loh!!!

sasa hapa siju tufanyeje??? somo halielewki kwa makusudi halafu!!!
 
Hahaha! Wewe si utakuwa nyumba kubwa bana? Usijali nguli hana time na nyumba ndogo. It will be only you. LOL!

ukweli utaendelea kubaki ukweli tuuu, haijalishi!!!!
 
Naona kuna ishara ya kamsisitizo fulani. LOL! Haya shem!

icon10.gif
icon10.gif
Wapwa mnanipa buarudani hapa.
 
Nimeenda kumuuliza babu amesepa nyumba ndogo zinasaidia sana kisaikolojia unajiridhisha nafsi yako.
 
Nimeenda kumuuliza babu amesepa nyumba ndogo zinasaidia sana kisaikolojia unajiridhisha nafsi yako.

eeeh osha nawe utaoshwa....lazima na wife atafute tuserengeti boys ili mwende sawa kisaikolojia... hw is that????
 
eeeh osha nawe utaoshwa....lazima na wife atafute tuserengeti boys ili mwende sawa kisaikolojia... hw is that????

To me its ok mradi nisijue. Just like what am doing.
 
eeeh osha nawe utaoshwa....lazima na wife atafute tuserengeti boys ili mwende sawa kisaikolojia... hw is that????

Ruksa lakini mm nisijue kama alivyo yeye hajui, hujui kuna wanaume na wanawake wanajua sana kutunza siri na inakuwa siri daima...kama ulidhani utamfumania kwa simu thubutu kuna cmu special kwa ajili ya nyumba ndogo nayo ipo special kazini wewe mama utaionea wapi hiyo?
 
sasa hiyo shida mnayojipa ni ya nini??? hamtaki kuwa huru nyie eeh!!

Utakulaje mchicha kila siku bana? Nyumba ndogo ni chachu ya kukoleza ufanisi katika nyumba kubwa. Thats it.
 
Back
Top Bottom