Nyumba dogos!....:are they necessary evils?

Mkuu Geoff, kama zingekuwa siyo "necessary" basi zisingekuwepo au zingekuwa zinapungua kwa idadi kubwa, lakini kinyume chake zinaongezeka kwa kasi sana. Je, na kwa wenzetu "mafiga matatu" yana umuhimu wowote wa kuendelea kuwepo!? Ha ha ha ha Nachokoza tu kwa upande huu pia...LOL!
 
eeeh jamani naona kama mmeidhinisha hii ngoma kama ni kweli mnaipigia kampeni fanyeni kwa siri kubwa tena meki shua hatutajua ..
my husband kama unasoma post hii hebu kama unako ka twiga staa jaribu kufanya siri kubwa sana maishani mwako la sivyo nikijua utakuwa unani-kill very soft
Very nice and open mind
 
umenena vyema mkuu!
nimegundua uliposimamia!THEY ARE THERE TO STAY
 
eeeh jamani naona kama mmeidhinisha hii ngoma kama ni kweli mnaipigia kampeni fanyeni kwa siri kubwa tena meki shua hatutajua ..
my husband kama unasoma post hii hebu kama unako ka twiga staa jaribu kufanya siri kubwa sana maishani mwako la sivyo nikijua utakuwa unani-kill very soft

Unaona sasa!? Mi wakati nasoma thread nilitaka kusema huyu kapata wapi data kuwa kuna kisura alifanya hivo? Firstlady kwa hako kaline kamwisho umempa dole aendelee na 'ufirauni" hence hoja IMEPITAAA! kama hadi Firstlady wetu kakubali lakini I wonder yule First Lady wa ukweli sikjui naye kafanya hivo manake jamaa naye (anonymity) nasikia yupo bomba katika kusapoti haka katopiki!
 
jamaa sikuhizi na kizunguzungu mara kaanguka, hawezi tena RB!! asije akafia mule mule hahaaaa
 
.............well!
it sounds like YES to my mind!NYUMBA NDOGOOZ ARE HERE TO STAY!karibu kila mwanaume mwenye ndoa yake lazima awe na ''kazi-ya-nje''.

hata kama ni vipi,au hana ATAHAHA KUITAFUTA!WENGINE NINAWAFAHAMU WANAHAHA KUZITAFUTA!hahahahaha.hapa sijui kama kuna kidume hatagonga senksi!

kuna kisura mmoja baada ya kumpa penzi mumewe asubuhi ya last weekend alimtext ''DIA NAOMBA LEO USIENDE KWA MWANAMKE MWINGINE,KUMBUKA NIMEKUPA PENZI ALFAJIRI''!kwa sisi wataalamu wa hisabati tunathubutu kusema kwamba hata wake zetu wamekubali mapigo kwamba NYUMBA NDOGOOZ ARE HERE TO STAY!

tujadili...........

Umeniacha hoi Geoff, na sijui ulikuwa unafikiri nini!!! maoni yangu ni kwamba inategema satisfaction level, makuzi na watu waliokuzunguka. na pia ningependa kujua, je vibwengo vya short time navyo ni nyumba dogo?

Pili, kuna Movie inaitwa "why did i get married" jamaa mule ndani alipeleka nyumba ndogo hadi kusikohitajika

Ila kama nyumba ndogo ni ile ambayo iunajicommit hata kusaidia maisha, then to me i would say;
Nyumba ndogo is not neccesary
its a sign of inferiority complex and a man trying to show or to feel big and important
it is selfish
it is time wasting
it is energy and resource wasting
It humiliate buzi kwani mara nyingi kuna vijana wenye nguvu zaidi huenda kumaliza kazi na kupewa mapungufu ya buzi

kuna ile 80/20 insumbua [pareto]

kama nyumba dogo inahusisha hadi vibwengo au accidental *** then sina cha kusema
 
jamaa sikuhizi na kizunguzungu mara kaanguka, hawezi tena RB!! asije akafia mule mule hahaaaa
[/COLOR]

BHT nafikiri jamaa labda ni umri unamsumbua si unakumbuka kale kareport kuwa yuko fresh kila kitu!?
 
hahaaa lol!! rayb unaua sasa!!! nakakumbuka sana tena waliposema yupo safi kila idara nikajiuliza na hii ya nanii pia? duh kazi ipo
 
Unaona sasa!? Mi wakati nasoma thread nilitaka kusema huyu kapata wapi data kuwa kuna kisura alifanya hivo? Firstlady kwa hako kaline kamwisho umempa dole aendelee na 'ufirauni" hence hoja IMEPITAAA! kama hadi Firstlady wetu kakubali lakini I wonder yule First Lady wa ukweli sikjui naye kafanya hivo manake jamaa naye (anonymity) nasikia yupo bomba katika kusapoti haka katopiki!

hahahaha inauma sana lakini nitafanyaje ..nyie wenyewe mnaona husb wangu mala yuko Jamaica ,mala kwa mswati mala kwa heheh huko kote mala nyingi haongozani na mie ..lazima atakuwa na vi back up tu ..lakini siku nikivikamataaaaaaaaaaaaaaa
 
Unafikiri ye mjinga kiasi hicho mpaka umkamate? Mngekuwa mnatukamata wala tusingekuwa na nyumba ndogo. Hahaha!
 
Mkuu Geoff,
Mada yako ni sensitive sana, inagusa hisia za akina mama sana lakini ukweli unabaki pale pale ... kwamba nyumba ndogo zitaendelea kuwepo na wanaume hawawezi kuzikwepa. Japo si wote wenye nyumba ndogo lakini wengi wao wanazo na kibaya zaidi wengine wanazo zaidi ya moja.

Nyamayao,
Signature yako inajibu mada yote ... wanaume tumetawaliwa na tamaa, ndiyo maana tunasema nyumba ndogo ni inevitable. Mwanaume akitamani husema amependa, huwa hatuwezi kutofautisha kutamani na kupenda, na pia hata tukitongoza siwezi kushusha verses niseme nimemtamani Nyamanyao na anikubali, maana ataniona nina matatizo. So nitasema nimempenda, na yeye ataingia King kirahisi then baada ya hapo ni kilio na kusaga meno.

Wanao amini Biblia waende kusoma Kitabu cha Waefeso Sura ya 5, ina ujumbe mzito kwa wana ndoa, mke ameagizwa AMTII mume, while mume ameagizwa AMPENDE mke. Hivi mtu anaweza kufunga ndoa na mwanamke ambaye hampendi? Kwa mwanaume tamaa na upendo ni identical twins ambao huwezi kuwatofautisha mpaka ukae nao kwa muda mrefu sana na ku-study tabia zao. In most cases wamama huwa wanakuja kugundua hakuna upendo when it is too late, alishafunga ndoa, kazaa na watoto na sasa yamebaki mazowea!

VeraCity,
Analysis yako ni nzuri sana, lakini umesahau kitu kidogo, siyo kwamba wanaume wanajiona wana haki, bali imani (dini) na mila ndiyo imewafanya wawe hivyo. Ukisoma Biblia, yule mwana mama aliyefumaniwa akizini, alipelekwa kwa Yesu peke yake, je, huo uzinzi aliufanya peke yake? Lazima kulikuwa na mwanaume. Je, kwanini mwanaume hakushikwa na kupelekwa kwa Yesu ili wote 2 wahukumiwe?

Juzi nimesoma kwenye mtandao, nchini Sudan kwenye mahakama za sharia, kuna mama amehukumiwa kupigwa mawe mpaka afe while mwanaume akahukumiwa kucharazwa bakora. Kosa ni uzinzi, kwanini adhabu ziwe na uzito tofauti?

Something is wrong somewhere, imani (dini) na mila zinawapendelea wanaume na ndio maana wanaona ni sawa tu kuwa na nyumba ndogo, after all hata wakifumaniwa anayetazamwa kwa macho makali na jamii ni mwanamke wala siyo mwanaume, mwanaume anaweza kuonekana ni kidume while mwanamke akabatizwa jina la malaya. Why?

Mchungaji Nguli,
Pamoja na kwamba kwenye mada flani watu walikuwa wana-question imani yako kwa kuwa una ukoo na Mkuu Bluray, kwenye mada hii umeonyesha uko juu katika ulimwengu wa kiroho na kwamba unamuogopa Mungu. Ninakubaliana na pendekezo lako kwamba wanaume wanapoomba mke wamshirikishe Mungu. Bible ndivyo inavyosema kwamba mke mwema hutoka kwa Mungu, lakini mali na mambo mengineyo unaweza kupewa na wazazi wako, ila siyo mke. So wanaume wakitaka kuoa waombe Mungu awafunulie.

Sasa kwenye hili la kufunuliwa Mama Mchungaji ZD, Mtumishi wa Mungu BHT na msaidizi wake Carmel wanaweza kutoa maelekezo ya jinsi gani mtu anaweza kufunuliwa na kuonyeshwa "mke mwema", maana haya mambo mengine ni ya kiimani zaidi. Wengine imani zetu haziko deep sana.
 
Mwenzangu kama huyo mwanaume ananipa kila hitaji langu aaaah, shaka naye sina ILA kwa kweli nisimshike. Maana nitamtenda kichini chini bila fahamu yake...maana kila kukicha ananiona mtoto sina mawazo, sina pressure, napendeza, na nenepa kwa my small house.
 
Kwa mwanamke anayetaka mtu wake asiwe na "house smallsmall" a.k.a nyumba ndogondogo au mwanname ambaye asije akaangaza macho kuona nyumba ndogondogo...

a. Usiache kumuona mumeo ni mpenzi wako; ukianza kumuona kama "baba Jamila, sijui Baba hussein" unaanza kumpa mwanga tofauti.. kwako he must continue to be the eternal "love".. the unending "hunny" and the forever "darling".. the vice versa is absolutely TRUE.

b. Usiache mshumaa wa mahaba (sijasema mapenzi) uanze kuzimika taratibu. La maana uone ni kama koroboi la mahaba au chemli ya mapenzi.. kila siku chochea utambi, chochea mafuta... ukijisahau tu kuna mtu anasubiri kuifanya kazi hiyo!

c. Usipende kumkata sana mpenzi wako - sijasema "kumkatikia" maana wengine mnafikiri nimechapia na mna mawazo machafu mshindwe! (hili somo kwa siku nyingine kwani linasababisha 100 percent ya nyumba ndogo)

d. Kamwe usikose muda wa kuwa na mwenzi wako kwa kisingizo chochote (kazi, kutingwa, watoto, n.k)..

e. Msinyimane kwa sababu ya hasira, uchungu, kinyongo, na mpeane kwa kiasi.. Never go to bed angry!!

f. Nendeni Tanga mumtafute Bi. Mwantumu..
 
Hizi mada huwa zinakuja kwa sura tofauti zikiwa na theme moja halafu mtu anapinga huku na kukubali kule. I said once kuwa wanawake wangejua... Si lengo kukubaliana na mtoa mada. Chukua muda kumtafuta mwenza wa maisha na sio kuoa/olewa then unatafuta vya nje. Kifupi ulikurupuka au ulikurupushwa kuoana. Hao ni manyang'au.
 
..........

tujadili...........

...kwakweli hapa wala hakuna mjadala, ni kukubaliana tu hio kitu ni lazima bana,...😀 atayepinga labda kajipa tu likizo, lakini ipo siku lazima 'ujipongeze' tena kidogo,...au sio ?? 😀
 
Back
Top Bottom