Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

Kalagabaho wa aina hiyo huona kuwa na magari used mabovumabovu, tena ya kawaida sana!... kuwa na simu used from Dubai, S.A na China na kukaa kwenye apartment bubu au kuwa na kanyumba ka vyumba vitatu mpiji na malamba mawili ndo wamemaliza... walio chini NYOKO!

Vitu kama hivyo mataifa yalioendelea mtoto mdogo ambaye hajafika "25" anavyo akiwa University.... libaba lizima linaona lishatoboa na miaka yake "33" [emoji23]

Tujitathmini waafrika na watu wa aina hiyo kama huyo mleta mada.
Hapa hatuzungumzii mataifa yaliyoendelea au hujui kwa sasa pesa ni popote ndugu yangu hata Africa kuwa tajiri inawezekana kabisa
Ukaanza chini na ukafika juu hao unaowaita wameendelea wakajifunza kwako
 
Kilamtu kinamuda na hakuna 10 bila kuwa na moja huko ndo tunaanzia hakuna aliezaliwa ananyumba ana gari kilakitu kinatafutwa na vinapatikana wengine wanapata na ziada muhimu juhudi tu na uvumilivu
[emoji817][emoji817]
 
Kilamtu kinamuda na hakuna 10 bila kuwa na moja huko ndo tunaanzia hakuna aliezaliwa ananyumba ana gari kilakitu kinatafutwa na vinapatikana wengine wanapata na ziada muhimu juhudi tu na uvumilivu
Lakini Viendane na umri? Usije kuona mzee anaokota makopo uzeeni ili akauze unajua ndio kama akili zako za sasa usijipe moyo mkuu
Pambana ukiwa na nguvu na kijana
 
Lakini Viendane na umri? Usije kuona mzee anaokota makopo uzeeni ili akauze unajua ndio kama akili zako za sasa usijipe moyo mkuu
Pambana ukiwa na nguvu na kijana
Hakuna anaempenda umaskini Jamani na umaskini haumpendezi mtu ila ndo Ivo tonatofautiana hata vidole mkononi havifanani

Wew unawaza umiliki nyumba na gari na iphone Kuna mwenzio amepita huko anafikiria afungue kampuni ya kuuza hayo magari na hizo simu
 
Hapa hatuzungumzii mataifa yaliyoendelea au hujui kwa sasa pesa ni popote ndugu yangu hata Africa kuwa tajiri inawezekana kabisa
Ukaanza chini na ukafika juu hao unaowaita wameendelea wakajifunza kwako
We huna akili... nna wasiwasi pia utakuwa SHOGA... maana mashoga hawanaga akili
 
Hakuna anaempenda umaskini Jamani na umaskini haumpendezi mtu ila ndo Ivo tonatofautiana hata vidole mkononi havifanani

Wew unawaza umiliki nyumba na gari na iphone Kuna mwenzio amepita huko anafikiria afungue kampuni ya kuuza hayo magari na hizo simu
Usijipe moyo ndugu kikubwa focus kusonga mbele na kuzifuata kanuni za utafutaji
Sidhani kama umaskini ni ugonjwa kila mtu lazima umpate

Kuzaliwa maskini sio kosa lako ni la wazazi wako ila unapoukubali umaskini hapo una makosa

Na hapa hatumcheki maskini bali ni kupeana njia ufike juu uachane na negative kufikiria vitu vizuri ni vya baadhi ya watu fulani
 
Acha ubabaifu mzeiya, kwanza Tunaomba screenshot ya simu yako
Simu hata kuishika mbele za watu huogopi
20230304_001100-BlendCollage.jpg
 
Back
Top Bottom