Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

iPhone ndo nn
Umeiona hapo hiyo ndio iPhone ndugu yangu
20230304_001100-BlendCollage.jpg
 
Hii akili kama ya @mwanamzizima alikuwa na pigo kama zako Sasa hivi ameikacha hiyo ID yake, endelea na mipasho ila wenye hela hawapo hivyo that's poor attitude.
 
Usijipe moyo ndugu kikubwa focus kusonga mbele na kuzifuata kanuni za utafutaji
Sidhani kama umaskini ni ugonjwa kila mtu lazima umpate

Kuzaliwa maskini sio kosa lako ni la wazazi wako ila unapoukubali umaskini hapo una makosa

Na hapa hatumcheki maskini bali ni kupeana njia ufike juu uachane na negative kufikiria vitu vizuri ni vya baadhi ya watu fulani
Tatizo lako umeandika kama kuwaona ambao hawana hakuna wanachofanya shukuru Mungu kakupa afya kunawengine hata iyo afya ya kufanya kazi akapata Elfu 10 Kwa siku hana
 
Kama vyote hivyo unavyo mshukuru Mungu, lakini kumbuka vyote hivyo ni Ubatili na kujilisha Upepo.
 
Wanasema maskini akipata matako yanalia mbwataaa.
Labda kanunua Iphone 6 akajiona amefika
Lakini kikubwa unamiliki brand kubwa sana Duniani
Una nyumba pale chanika chumba kimoja
Una passo yako ya kujivinjari town
Una mke mke mmoja
Una kula sio kubahatisha


Huvuti sigara
Wala kunywa pombe

Endelea kutiririka hapo uone
 
Kama vyote hivyo unavyo mshukuru Mungu, lakini kumbuka vyote hivyo ni Ubatili na kujilisha Upepo.
Amina mtumishi wewe kidogo una akili ni vya kupita ila uvimiliki maana umeumbwa kutawala au hujui hilo
 
Sina vyote kati ya hivyo ila nambandua mama yako na kumgeuza nitakavyo.
 
Mke anakupa heshima katika jamii inayokuzunguka
Hata mawazo yako yanaheshimika


Pia kuishi na mtoto wa watu ni akili kwa hiyo uoe kama hujaoa ndugu yangu
Uongo, Kuishi na mtu ndani Uliyemnunua ni Laana na ni Utapeli
 
Back
Top Bottom