Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

Kilamtu kinamuda na hakuna 10 bila kuwa na moja huko ndo tunaanzia hakuna aliezaliwa ananyumba ana gari kilakitu kinatafutwa na vinapatikana wengine wanapata na ziada muhimu juhudi tu na uvumilivu
Una hekima sana mwana Mama. Mumeo anabahati sana.
 
Kama kungekuwa na mahali wanabadilisha ubongo wa wanadamu, Waafrika wangekuwa ndio wateja wakubwa huko....

Barani kwetu tuna idadi kubwa ya watu wenye ubongo wenye almost 0 IQ
Ni hivi waafrica tuna laana kumbuka ss n uzao wa yule jamaa aliyemchungulia baba yake mwanzo sura ya 9.
 
Ni mwanaume huyu anajadili mwanaume above 30 kumiliki iphone.

Aiseee kazi ipo.
 
Ni hivi waafrica tuna laana kumbuka ss n uzao wa yule jamaa aliyemchungulia baba yake mwanzo sura ya 9.
Wewe ndie una laana maana hujui ujio wake Yesu hivyo vyote vilibatilika
 
Kabisa kunawatu wanapitia magumu sana mwingine anapambana sana lkn hapat anachotaka ansishia kupata pesa ya kulisha familia tu Sasa iyo I phone sijui gari akaibe au afanyaje mtoa mada naona Bado akili haijawaza kuhusu wengine
Usichukulie serious sana mkuu angalia upo jukwaa gani
Utani kidogo tunasonga
 
Nina infinix na yenyewe imepasuka kioo ila fresh tu boya wewe
 
Back
Top Bottom