Una hekima sana mwana Mama. Mumeo anabahati sana.Kilamtu kinamuda na hakuna 10 bila kuwa na moja huko ndo tunaanzia hakuna aliezaliwa ananyumba ana gari kilakitu kinatafutwa na vinapatikana wengine wanapata na ziada muhimu juhudi tu na uvumilivu
Ni hivi waafrica tuna laana kumbuka ss n uzao wa yule jamaa aliyemchungulia baba yake mwanzo sura ya 9.Kama kungekuwa na mahali wanabadilisha ubongo wa wanadamu, Waafrika wangekuwa ndio wateja wakubwa huko....
Barani kwetu tuna idadi kubwa ya watu wenye ubongo wenye almost 0 IQ
iphone ni mdudu gani na ana umuhimu gani kwenye maisha ya binaadamu?Sema Huna ndugu yangu usitoe povu
Unaweza ukawa nay0 Si0 Dhambi ila si0 kitu cha kujivunia..iphone ni kitu cha kuwa nacho?
Unaishi humu na ku-judge watu kwa ID zao... Pole sana! π π π ππΎKwanza unaitwa hohehahe yaani hujielewi!! Ila kizuri unajua kusoma na kuandika inabidi tukufundishe dunia inaenda vipi
Unajiita hohehahe inadhihirisha akili Huna Pole yakoUnaishi humu na ku-judge watu kwa ID zao... Pole sana! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1474]
Umeona neno iPhone tu? Hata mke hujaona kweli watu wengine maandazi ya mama TausiNi mwanaume huyu anajadili mwanaume above 30 kumiliki iphone.
Aiseee kazi ipo.
Una makasiriko mula Huna hats kimoja hapoNi mwanaume huyu anajadili mwanaume above 30 kumiliki iphone.
Aiseee kazi ipo.
Sili kwako basi hauna haja ya kuniita jina ambalo sikupewa na wazazi wanguGari huna
Nyumba huna
Mke huna
Iphone huna
Halafu upo above 30
Wewe kuna jina la kukuita sio bure
Mkuu swali kwako una iPhone hapo ulipo?Unaweza ukawa nay0 Si0 Dhambi ila si0 kitu cha kujivunia..
Wewe ndie una laana maana hujui ujio wake Yesu hivyo vyote vilibatilikaNi hivi waafrica tuna laana kumbuka ss n uzao wa yule jamaa aliyemchungulia baba yake mwanzo sura ya 9.
Usichukulie serious sana mkuu angalia upo jukwaa ganiKabisa kunawatu wanapitia magumu sana mwingine anapambana sana lkn hapat anachotaka ansishia kupata pesa ya kulisha familia tu Sasa iyo I phone sijui gari akaibe au afanyaje mtoa mada naona Bado akili haijawaza kuhusu wengine
Wala siko serious mbonaUsichukulie serious sana mkuu angalia upo jukwaa gani
Utani kidogo tunasonga
We jamaa unaweza kuwa unachokonolewa na kukojolewa wewe... si bure π€π€π€πMkuu swali kwako una iPhone hapo ulipo?
Ndio nini mkuuWe jamaa unaweza kuwa unachokonolewa na kukojolewa wewe... si bure [emoji848][emoji848][emoji848][emoji4]
Gari huna
Nyumba huna
Mke huna
Iphone huna
Halafu upo above 30
Wewe kuna jina la kukuita sio bure