House4Rent Nyumba inapangishwa Sinza - Kodi TZS 2Million kwa mwezi

House4Rent Nyumba inapangishwa Sinza - Kodi TZS 2Million kwa mwezi

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,119
Reaction score
1,618
Nyumba ya kupanga Kali sana

Ina nyumba viwili vya kulala vyote master
Ina sitting room majiko
Balcony nyuma na mbele.
Full AC
Kodi ni miliioni 2 kila mwezi.

Nipigie simu Kwa ukaguzi📱0754693556

Note:sitozi services charge mkuu.


​
 
Kodi hiyo inazidi mshahara wangu mara nnne; nitaendelea kuishi hapa hapa uchochoroni
Sehemu ambayo huna uwezo nayo unaweza Ona watu wanachezea pesa zao.

Hapo ulipo pia Aman ipo mkuu shukuru kidogo chako.

Msanii fid Q Kuna mistari alisema.
KAma huna vingi vya kushukuru
Basi shukuru hauna vingi maana huwenda ungekufuru ungekuwa na hivyo vingi.
 
Back
Top Bottom