House4Rent Nyumba inapangishwa Sinza - Kodi TZS 2Million kwa mwezi

Sinza pa kishamba tu, pa hovyo ! Mtu anaepanga nyumba ya 2m per month lazima yuko well off, lazima ahakikishe usalama wake , mazingira tulivi n.k ! Sinza ? Pa hovyo mno , haijalishi ni sinza ipi,Angefanya walau 1m to 1.2m .... tatzo mtu ana uchungu kajenga gharama kubwa, anataka hela yake irudi chap chap
Ingekuwa masaki huko, ama bahari Beach hiyo hela inadeserve, lakini sio sinza kunanuka
 
Wewe ndio unasema hivyo Mzee wangu
Wala usibishe. Katika sehemu zenye ma-ajenti wahuni na wenye tamaa za fisi ni real estate za Bongo. Mtu anataka akipangisha nyuma moja, basi ajenge yake. Wengi wenu ndiyo mnafanya nyumba za kupanga ziwe ghali na ngumu kupata. I wish watokee ma real estate wanaojua kazi yao wanaweka webiste na kukubali kuchukuwa commission fee ndogo na reasonable. Kwanza ni suala la muda, kwa utandawazi huu, watatokea real estate professionals. Uwanja wa real estate ulivyo wa ajabu utakuta hapo mpangaji ataambiwa alipe commission ya sawa na kodi ya mwezi mmoja, na hapo hapo pengine dalali ameweka tena cha juu kwenye kodi ya kila mwezi.
 
Ni suala la muda tu utasikia kilio kuwa kazi zetu wanapewa waarabu au wachina. Yaani kodi kwa mwezi laki moja halafu nimlipe tena dalali laki?? Mbaya zaidi kodi unalipa kuanzia miezi 6.
 
Wala usibishe. Katika sehemu zenye ma-ajenti wahuni na wenye tamaa za fisi ni real estate za Bongo. Mtu anataka akipangisha nyuma moja, basi ajenge yake. Wengi wenu ndiyo mnafanya nyumba za kupanga ziwe ghali na ngumu kupata. I wish watokee ma real estate wanaojua kazi yao wanaweka webiste na kukubali kuchukuwa commission fee ndogo na reasonable. Kwanza ni suala la muda, kwa utandawazi huu, watatokea real estate professionals. Uwanja wa real estate ulivyo wa ajabu utakuta hapo mpangaji ataambiwa alipe commission ya sawa na kodi ya mwezi mmoja, na hapo hapo pengine dalali ameweka tena cha juu kwenye kodi ya kila mwezi.
Umejibu kwa mhemko mkuu na Wewe ni platinum member.

Ungejibu Kwa akili basi ningekuelewa kabisa mkuu.

Mimi nipo tofauti na madalali wengine kabisa na ndio mana humu huwezi kukuta naleta Kazi ya kupangisha mara Kwa mara sababu Mimi sio dalali wa kupangisha nyumba au vyumba.

Mara nyingi wapo wateja ambao wananiulizia swala la kutaka nyumba za kupanga nawakataa au namtafutia dalali mwenye hiyo Kazi yake.

Ikitokea napewa Kazi ya kupangisha nyumba na Mwenye nyumba ikiwa chini ya milion 1 Mimi nakataa hiyo Kazi Na Wala huwezi kuikuta humu.

Niliweka tangazi hilo sababu Bei ya kupanga ni nzuri na hiyo Bei ya milion 2 ni Bei ya mwenye nyumba.Hivyo basi mteja atakutana na mwenye nyumba na kukaa mezani kwajili ya mikataba.

Kuna mteja alifika milion 1.5 amekataliwa vizuri tu.

Bila Shaka ukifika hatua ya kujenga nyumba ya kupanga Kwa ngalama ya kuanzia milion 2 na kuendelea sizani kama utakuja hapa Tena kuongea mambo ya madalali.

Kwahiyo mkuu kaa upande wako Kwa Sasa.Ukijipata basi utakuwa upande wangu.

Utaongee saana lakini dalali kwako ni muhimu katika Maisha.Nchi ina dalali pia na hilo unalijua.

Njoo nikuuzie nyumba viwanja shamba Na magari.

Ukitaka kupanga nyumba ya bei za 100k hadi 900k nitakutafutia wadau wa hizo Kazi.
 
Back
Top Bottom