Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Hapo ndipo kipengele 😅🥲Hongera mkuu kama ni za halali
Hapo ndipo kipengele 😅🥲Hongera mkuu kama ni za halali
Kipengele kwenye niniHapo ndipo kipengele 😅🥲
Angalia ubora wa nyumba, mazingira ya nje usafi, mitaro ya maji taka, usafi, uswahili, mbanano wa nyumba, n.k.Ilala kodi 1m sinza 2m madalali mnafikiria kwa kutumia maboga yenu mawili
Hapo unyama ni mwingiHapo uwe na 6-8 m per month, posho kibao, upigaji mwingi