Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Kodi ni miliioni 2 tu kila mwezi.Mmmhhh! Kodi kwa mwezi shilingi ngapi?
Huna Hela ya kupanga kaa Kings mkuu.Ilala kodi 1m sinza 2m madalali mnafikiria kwa kutumia maboga yenu mawili
Kwa akili yako unaona kila mtu anapanga?Huna Hela ya kupanga kaa Kings mkuu.
Heshima yangu unayo
Ni 2,000,000Mmmhhh! Kodi kwa mwezi shilingi ngapi?
Kwq mjengo kama huo 2m ni pesa mbuzi tu.Kodi ni miliioni 2 tu kila mwezi.
Nzuri sanaNyumba ya kupanga Kali sana
Ina nyumba viwili vya kulala vyote master
Ina sitting room majiko
Balcony nyuma na mbele.
Full AC
Kodi ni miliioni 2 kila mwezi.
Nipigie simu Kwa ukaguziš±0754693556
Note:sitozi services charge mkuu.
Tafuta hela, huyo kafanya hesabu za Hotel 40k per day per RoomIlala kodi 1m sinza 2m madalali mnafikiria kwa kutumia maboga yenu mawili
Za nini naishi kwani nami nina Assets nimezipangisha lakini si kwa kiasi hicho tena IlalaTafuta hela, huyo kafanya hesabu za Hotel 40k per day per Room
Sawa sawa tajiriZa nini naishi kwani nami nina Assets nimezipangisha lakini si kwa kiasi hicho tena Ilala
Sehemu ambayo huna uwezo nayo unaweza Ona watu wanachezea pesa zao.Kodi hiyo inazidi mshahara wangu mara nnne; nitaendelea kuishi hapa hapa uchochoroni
Hongera mkuu kama ni za halaliZa nini naishi kwani nami nina Assets nimezipangisha lakini si kwa kiasi hicho tena Ilala
Kwani za halali zipoje na sizizo halali zipoje?Hongera mkuu kama ni za halali