Mkuu kasema Sqm moja ni 150,000...(laki na nusu) sio elfu 15 kama ulivyopiga wewe hesabu zako. Kwahiyo ongeza kasifuri kamoja kwenye jibu lako...15000*1400=21,000,000.00 Hii ni bei ya kiwanja, hivyo 300,000,000-21,000,000=279,000,000 DUUH! BEI YA NYUMBA NI 279M....! SHIKAMOO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiii
Mbona mwanicheka warembo wangu??Ahaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inategemea na mahali ulipoMil 300 najenga Nyumba Zaidi ya Kumi Nafungua na Biashara zaidi ya 5 nanunua na Usafiri kabisa...
Lamda za tope na kwenye shamba la mirathiMil 300 najenga Nyumba Zaidi ya Kumi Nafungua na Biashara zaidi ya 5 nanunua na Usafiri kabisa...
Kweli kabisa inabidi afanye masahihishoMkuu kasema Sqm moja ni 150,000...(laki na nusu) sio elfu 15 kama ulivyopiga wewe hesabu zako. Kwahiyo ongeza kasifuri kamoja kwenye jibu lako...
Pia iko ndani ya eneo la nyumba mkuu.Naona miti tu
150,000×1400= 210,000,000 wewe umeweka 300,000,000 maana yake hio nyumba ya vyumba vitatu ina thamani ya 90,000,000 embu kua serious jamaaaKweli kabisa ila inategemea kiwanja kiko wapi!
Hiyo iko bahari beach ambako be ya Ardhi ya serikali ni 150,000/ @ sqm 1
150,000*1400= ?
+thamani ya nyumba=
Jumla......
Kama una calculator hapo naomba unisaidie.
Hiyo ni bei ya serkal na siyo ya mtu binafsi
Tapeli huyo na ni dali uchwara picha gani sasa hizo za hovyo hovyo. MWIZI HUYOOOOOiyo picha mbona umepiga ki wizi wizi kunatatizo??
ok nitakubeep inaishia na 4
Asante mkuu.Tapeli huyo na ni dali uchwara picha gani sasa hizo za hovyo hovyo. MWIZI HUYOOOOO
Oky wewe ulitakaje mkuu? Basi fanya hivi, panga bei wewe unataka tuuzeje?150,000×1400= 210,000,000 wewe umeweka 300,000,000 maana yake hio nyumba ya vyumba vitatu ina thamani ya 90,000,000 embu kua serious jamaaa
Dah! Sawa ndg ila hili ni tangazo la biashara kwahyo unaweza kuona linakufaa na pengine lisikufae yote kwa yote ndio changamoto za kazi zilivyoBahari beach au kunduchi au ununio. Kwa hali ya sasa bahari beach nyumba ya 300m ingekuwa either gorofa au ya chini nzuri sanaaa naishi mitaa hiyo na huwa tunaona majirani wakiuza na kununia this one is extremely overated unless picha si hizi. Na kama ni ununio ie unevuka baharo beach ndio bei zinaenda chini.
Bahari beach nayo in mitaa michache yenye nyumba kali huku budget , feza na mitaa ya kondo ila kwingine I beg to differ.
mkuu kama uko Dodoma nitafutie kiwanja plsHamieni Dodoma.mtabaki mkisemi Mko karibu na bahari mtabaki nazo.na mtabaki mkidaiwa Madeni ya benk.walioko tanga na mtwara hawako karibu na bahari?milioni 300? Mabalozi wetu wanahamia Dodoma .mtabaki na upepo Wa bahari. Dar muda mfupi ujao itakuwa Mombasa na Dodoma utakuwa Nairobi. Someni ramani na wakati.mchana mwema
Sawa bossPia iko ndani ya eneo la nyumba mkuu.