House4Sale Nyumba inauzwa Bahari Beach

House4Sale Nyumba inauzwa Bahari Beach

15000*1400=21,000,000.00 Hii ni bei ya kiwanja, hivyo 300,000,000-21,000,000=279,000,000 DUUH! BEI YA NYUMBA NI 279M....! SHIKAMOO
Mkuu kasema Sqm moja ni 150,000...(laki na nusu) sio elfu 15 kama ulivyopiga wewe hesabu zako. Kwahiyo ongeza kasifuri kamoja kwenye jibu lako...
 
Mil 300 najenga Nyumba Zaidi ya Kumi Nafungua na Biashara zaidi ya 5 nanunua na Usafiri kabisa...
 
Mkuu kasema Sqm moja ni 150,000...(laki na nusu) sio elfu 15 kama ulivyopiga wewe hesabu zako. Kwahiyo ongeza kasifuri kamoja kwenye jibu lako...
Kweli kabisa inabidi afanye masahihisho
 
Bahari beach au kunduchi au ununio. Kwa hali ya sasa bahari beach nyumba ya 300m ingekuwa either gorofa au ya chini nzuri sanaaa naishi mitaa hiyo na huwa tunaona majirani wakiuza na kununia this one is extremely overated unless picha si hizi. Na kama ni ununio ie unevuka baharo beach ndio bei zinaenda chini.
Bahari beach nayo in mitaa michache yenye nyumba kali huku budget , feza na mitaa ya kondo ila kwingine I beg to differ.
 
Sio kweli bei elekezi kwa wizara ya ardhi ni 150,000 rejea muongozo wako mkuu.
 
Kweli kabisa ila inategemea kiwanja kiko wapi!

Hiyo iko bahari beach ambako be ya Ardhi ya serikali ni 150,000/ @ sqm 1

150,000*1400= ?
+thamani ya nyumba=

Jumla......

Kama una calculator hapo naomba unisaidie.

Hiyo ni bei ya serkal na siyo ya mtu binafsi
150,000×1400= 210,000,000 wewe umeweka 300,000,000 maana yake hio nyumba ya vyumba vitatu ina thamani ya 90,000,000 embu kua serious jamaaa
 
Hamieni Dodoma.mtabaki mkisemi Mko karibu na bahari mtabaki nazo.na mtabaki mkidaiwa Madeni ya benk.walioko tanga na mtwara hawako karibu na bahari?milioni 300? Mabalozi wetu wanahamia Dodoma .mtabaki na upepo Wa bahari. Dar muda mfupi ujao itakuwa Mombasa na Dodoma utakuwa Nairobi. Someni ramani na wakati.mchana mwema
ok nitakubeep inaishia na 4
 
150,000×1400= 210,000,000 wewe umeweka 300,000,000 maana yake hio nyumba ya vyumba vitatu ina thamani ya 90,000,000 embu kua serious jamaaa
Oky wewe ulitakaje mkuu? Basi fanya hivi, panga bei wewe unataka tuuzeje?
 
Bahari beach au kunduchi au ununio. Kwa hali ya sasa bahari beach nyumba ya 300m ingekuwa either gorofa au ya chini nzuri sanaaa naishi mitaa hiyo na huwa tunaona majirani wakiuza na kununia this one is extremely overated unless picha si hizi. Na kama ni ununio ie unevuka baharo beach ndio bei zinaenda chini.
Bahari beach nayo in mitaa michache yenye nyumba kali huku budget , feza na mitaa ya kondo ila kwingine I beg to differ.
Dah! Sawa ndg ila hili ni tangazo la biashara kwahyo unaweza kuona linakufaa na pengine lisikufae yote kwa yote ndio changamoto za kazi zilivyo
 
Kurasini kiwanja 60m.
Gharama za kujenga nyumba ya maana classic 150m jumla 210m. Baki 90m unanunua kiwanja kikubwaaaaaaaaaaa chamazi near azam kwa 10m. Unajenga nyumba nzuriii 60m jumla 70 baki 20m. Unanunua kiwanja kidogo near road at chamazi.5m unajenga frem za biashara tano kwa 10m. Baki 5m nunua kiwanja kidogo ndani ndani kwa 2m chimba kisima cha maji kwa 2m uzia wananchi baki 1m. Kanywe biaaaaaaaaaaaaaa na kula bata mwezi mzima.
Hyo ndo bajeti ya 300m bro. Mwaka utakatika haujauza hyo plot labda utudanganye.
 
mk
Hamieni Dodoma.mtabaki mkisemi Mko karibu na bahari mtabaki nazo.na mtabaki mkidaiwa Madeni ya benk.walioko tanga na mtwara hawako karibu na bahari?milioni 300? Mabalozi wetu wanahamia Dodoma .mtabaki na upepo Wa bahari. Dar muda mfupi ujao itakuwa Mombasa na Dodoma utakuwa Nairobi. Someni ramani na wakati.mchana mwema
mkuu kama uko Dodoma nitafutie kiwanja pls
 
Mi natafuta nyumba ya kununua mbeya,
 
Back
Top Bottom