House4Sale Nyumba inauzwa imeshuka bei, mmiliki anataka kuhama

0768628314

Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
44
Reaction score
96
Nyumba ipo sokoni inahitaji finishing tu.
Piga sim kwa mmiliki 0692547049 au 0768628314

Ina vyumba vya kulala 4
Master 1
Sebure kubwa sana
Chumba cha chakula
Jiko
Stoo
Vyoo vya ndani
Kisima kipo
Ukubwa wa kiwanja 57*67
Umeme upo.
huduma zote za kijamii zipo karibu

Inapatikana katoro-geita

Nyumba ya kisasa ya familia ina hitaji mtu makini alie serious inahitaji ml.55 maongezi kwa alie tayari yapo
 
Najizuia kuandika maneno mengi, ila....
1. Msingi wa nyumba ni .......
2. Kiwanja kina hati...?
3. 57 kwa 67....??!!! Ukubwa wa kiwanja, chote kimejengwa nyumba...
4. 🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️
 
Najizuia kuandika maneno mengi, ila....
1. Msingi wa nyumba ni .......
2. Kiwanja kina hati...?
3. 57 kwa 67....??!!! Ukubwa wa kiwanja, chote kimejengwa nyumba...
4. [emoji2368][emoji2368][emoji2368]
Nyumba ni kubwa sana ndugu imemaliza kiwanja ina hati ya mauziano kutoka serikali za mitaa lengo ilikua nikimaliza ujenzi wangu ndo nifatilie hilo
 
Imejengwa kama Ruvu, Ifakara na Kilosa Secondary Schools walizojenga waCuba enzi za Nyerere na Castro
 
Kwa alie na utayari nyumba ipo Katoro mkoani Geita nipigie simu au SMS namba 0692547049 au 0768628314
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…