House4Sale Nyumba inauzwa imeshuka bei, mmiliki anataka kuhama

House4Sale Nyumba inauzwa imeshuka bei, mmiliki anataka kuhama

Nyumba ipo sokoni inahitaji finishing tu.
Piga sim kwa mmiliki 0692547049 au 0768628314

Ina vyumba vya kulala 4
Master 1
Sebure kubwa sana
Chumba cha chakula
Jiko
Stoo
Vyoo vya ndani
Kisima kipo
Ukubwa wa kiwanja 57*67
Umeme upo.
huduma zote za kijamii zipo karibu

Inapatikana katoro-geita

Nyumba ya kisasa ya familia ina hitaji mtu makini alie serious inahitaji ml.55 maongezi kwa alie tayari yapo
View attachment 2522729View attachment 2522730View attachment 2522731View attachment 2522732View attachment 2522733

Acha kukariri, hicho kiwanja kwa macho tu hakizidi 25 kwa 25m

Alafu hio paa umeweka kama inaelekea mbinguni au? Paa za ice hizo mnajenga Tz ili iweje, hivi nyie mnajenga kuiga tu wala hamjui maana yake
 
Acha kukariri, hicho kiwanja kwa macho tu hakizidi 25 kwa 30 m

Alafu hio paa umeweka kama inaelekea mbinguni au? Paa za ice hizo mnajenga Tz ili iweje, hivi nyie mnajenga kuiga tu wala hamjui maana yake
Sawa mkuu hayo ni maamuzi na utashi wangu wewe ukiamua kuezeka slop umeamua wewe na mimi nikiamua kuezeka Hiden roof Nimeamua mimi nikitaka kuezekea turubai nimeamua sasa hapa sipo kujadili aina ya muezeko ninacho uza ni mali yangu kwa alie na utayari basi tutafanya biashara ukubwa wa kiwanja ulio sema wewe huo umesema wewe ndugu siwezi bishana na hilo pia
 
Kila wiki nipo dar hakuna jipya huko ndugu usione watu wanaishi miji midogo ukadhani hawana akili au hawataki kustareheka tunaishi sehemu kwa sababu na malengo maalum sio kuishi tu ili mradi upo mjini
Malengo gani geita?? Mnatesa watoto tu ,huko geita yanatakiwa yabaki mashamba n'a nyani
 
Nyumba ipo sokoni inahitaji finishing tu.
Piga sim kwa mmiliki 0692547049 au 0768628314

Ina vyumba vya kulala 4
Master 1
Sebure kubwa sana
Chumba cha chakula
Jiko
Stoo
Vyoo vya ndani
Kisima kipo
Ukubwa wa kiwanja 57*67
Umeme upo.
huduma zote za kijamii zipo karibu

Inapatikana katoro-geita

Nyumba ya kisasa ya familia ina hitaji mtu makini alie serious inahitaji ml.55 maongezi kwa alie tayari yapo
View attachment 2522729View attachment 2522730View attachment 2522731View attachment 2522732View attachment 2522733
Kwa ukubwa wa hicho kiwanja na thamani ya ardhi eneo ulilojenga pamoja na aina ya matofali yaliyotumika kujenga, unachouza hakifikishi thamani ya 55m!
Hata 40m inaweza kuwa mbinde!
 
Back
Top Bottom