Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Huu upuuzi sijui ni nani aliwafundisha sijui wakipima shamba la hekari za mraba 10,000 wataandika kwa futi hiyo namba ikibadilishwa kuja kwenye futi mraba.Kiwanja chako ni 20m * 17m hivo vipimo vyako vipo kwenye futi!! Yaani mnaandika mkataba wa kuuziana kiwanja kwa ft? Strange!!!
Anyway kiwanja ni kidogo icho ndo maana nyumba imeenea, kiwanja Cha 57m by 67m si mchezo yaani hata kupiga fence mavi yanakutoka