The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Ginimbi aliishi Harare ni pazuri kuliko dar hakuishi geita hakufanya upumbafu huoUkiwa na nyumba kali, chini paving na ukuta mkali alafu gari full tinted ndani A.C nani kakuambia utachafuka vumbi boss. 😁
Hivi unamjua Ginimbi aliishi zimbabwe nchi choka mbaya ila utajiri alokuwa nao wanigeria walikuwa wanapiga salute........japo SA na naija wako juu ya Zimbabwe.