House4Sale Nyumba inauzwa imeshuka bei, mmiliki anataka kuhama

Kidoni akiwa na mavumbi puani
Ukiwa na nyumba kali, chini paving na ukuta mkali alafu gari full tinted ndani A.C nani kakuambia utachafuka vumbi boss. 😁

Hivi unamjua Ginimbi aliishi zimbabwe nchi choka mbaya ila utajiri alokuwa nao wanigeria walikuwa wanapiga salute........japo SA na naija wako juu ya Zimbabwe.
 
Hiko kiwanja sio 57 kwa 67. Pima tena vizuri, hiko ni 16 kwa 25. Zingatia hapo kwenye kupima tena upya vinginevyo utaonekana tapeli.

57*67 ni karibu ekari 1 moja hiyo
 
Jenga fensi fupi kabisa yenye urembo wa chuma nikiona mtu kajenga bati la hivyo na ukuta kama huo najua mmiliki ni mshamba
Lengo sijui ni nini hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…