Ginimbi aliishi Harare ni pazuri kuliko dar hakuishi geita hakufanya upumbafu huoUkiwa na nyumba kali, chini paving na ukuta mkali alafu gari full tinted ndani A.C nani kakuambia utachafuka vumbi boss. π
Hivi unamjua Ginimbi aliishi zimbabwe nchi choka mbaya ila utajiri alokuwa nao wanigeria walikuwa wanapiga salute........japo SA na naija wako juu ya Zimbabwe.
Ukiwa na nyumba kali, chini paving na ukuta mkali alafu gari full tinted ndani A.C nani kakuambia utachafuka vumbi boss. π
Hivi unamjua Ginimbi aliishi zimbabwe nchi choka mbaya ila utajiri alokuwa nao wanigeria walikuwa wanapiga salute........japo SA na naija wako juu ya Zimbabwe.
Acha lomoni basi nani kakuambia Harare ni pazuri kuliko dar πππGinimbi aliishi Harare ni pazuri kuliko dar hakuishi geita hakufanya upumbafu huo
Picha hizo hapo juuAcha lomoni basi nani kakuambia Harare ni pazuri kuliko dar πππ
Asee acha mchezo, harare pabovu sana, ushawahi panda Taqwa za kuenda SA.
Kiwanja chako ni 20m * 17m hivo vipimo vyako vipo kwenye futi!! Yaani mnaandika mkataba wa kuuziana kiwanja kwa ft? Strange!!!Hebu nisaidie kusoma hapo labda mimi sielewi unipe ufafanuzi View attachment 2523647
unaona sasa kumbe nilikua sahihi. Hiko kiwanja ni futi 57 kwa 67Hebu nisaidie kusoma hapo labda mimi sielewi unipe ufafanuzi View attachment 2523647
Afu geitaunaona sasa kumbe nilikua sahihi. Hiko kiwanja ni futi 57 kwa 67
Hiyo ni sawa na mita 17 kwa 20. Kiwanja kidogo sana hiko.
Jamaa nilishamwambia hiliunaona sasa kumbe nilikua sahihi. Hiko kiwanja ni futi 57 kwa 67
Hiyo ni sawa na mita 17 kwa 20. Kiwanja kidogo sana hiko.
Hizo 57 x 67 ni kipimo cha meters?
Kama ni meters, huwezi kumaliza kiwanja kwa ukubwa wa hiyo nyumba inayoonekana...
Weka hapa hapa, huko Whatsapp utawatumia wangapi?!Tafadhali naomba mawasiliano yako ya whatsapp
Shusha tu hakuna namna. Ila naomba urekebishe vipimo vya kiwanja. Maana sisi watanzania huwa tunatumia kipimo cha mita. Sasa wewe umeweka hizo namba ila hatujajua unatumia kipimo kipi kuwakilisha hizo namba, centimeters, metre, feet, Kilometers, Hectare, yaani haujaeleweka. Na hapo ndipo utata unaanzia sababu kama eneo ni lako kwann uwe na mafundo fundo kwenye details za eneo lako?Ndo nisha maliza hapo haita shuka zaidi ya hapo
Kwa meter itakuwa uongo kwa hiyo nyumba kujaza eneo lote. Maana kwa hiyo nyumba kujaza eneo lote ni aidha kiwanja cha meter 15 kwa 15 au 17 au 18 haiwezi zidi hapo.Hizo 57 x 67 ni kipimo cha meters?
Kama ni meters, huwezi kumaliza kiwanja kwa ukubwa wa hiyo nyumba inayoonekana...
25 ni kubwa semea 16 kwa 16 au 17 au 18, haiwezi zidi hapo.Hiko kiwanja sio 57 kwa 67. Pima tena vizuri, hiko ni 16 kwa 25. Zingatia hapo kwenye kupima tena upya vinginevyo utaonekana tapeli.
57*67 ni karibu ekari 1 moja hiyo
Hizo ni futi sio Mita zibadili kuwa meterHebu nisaidie kusoma hapo labda mimi sielewi unipe ufafanuzi View attachment 2523647
Kiwanja kitakuwa kimepimwa kwa hatua za miguuNajizuia kuandika maneno mengi, ila....
1. Msingi wa nyumba ni .......
2. Kiwanja kina hati...?
3. 57 kwa 67....??!!! Ukubwa wa kiwanja, chote kimejengwa nyumba...
4. π€·ββοΈπ€·ββοΈπ€·ββοΈ
Sasa wewe ulivyoleta tangazo, wakati wa kusoma hizo namba hapo ikawaje ukaja kutukopia namba pekee yake ukaacha hayo maneno futi ambayo ndio yanabeba uzito wa namba hizo?!Hebu nisaidie kusoma hapo labda mimi sielewi unipe ufafanuzi View attachment 2523647