House4Sale Nyumba inauzwa ipo Kibaha

House4Sale Nyumba inauzwa ipo Kibaha

Nyumba ipo Kongowe kibaha ina vyumba 2 kila chumba na choo yake iliyokamilika.
Kuna kiwanja kuendeleza ujenzi

Bei ni million 15 Bei ndogo kulingana na hali mbaya ya mdololo wa kiuchumi

Ukubwa wa eneo ni mita za mraba 678.
Bado hujaonyesha eneo lilobaki kwenye picha.Mimi mnunuzi lakini kutokana na mdororo wa uchumi bei pendekezwa isikuudhi,nimeamua kujilipua hivyo hivyo milioni tano cash
 
Piga picha ya nyumba yote tuione, ipo kwenye maeneo ambayo ni planned? I mean ina tittle deed?
 
buyer be aware hilo ndio la msingi kuna jamaa yangu kanunua nyumba ambayo jamaa kaweka bond saccos baada ya kuuza mdaiwa kaacha lipa mkopo kufumba na kufumbua mnada huo jamaa pressure ipo juu sana kwa sasa
 
Mkuu hii haidaiwi na yoyote sema Nina shida kutoa mzigo bandarini sina pesa
 
Back
Top Bottom