House4Sale Nyumba inauzwa ipo Sinza A karibu na apartment za Delina .

House4Sale Nyumba inauzwa ipo Sinza A karibu na apartment za Delina .

Apollo tyres

Senior Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
109
Reaction score
286
IMG-20241210-WA0000_1733971037025.jpg

ENEO LINAFAA KWA APARTMENT AU MAKAZI BINAFSI

LIPO SINZA A KARIBU NA APARTMENT ZA DELINA NA KITAMBAA CHEUPE

ENEO NI SQM 356

ENEO LINA HATI PAZURI SANA KI BIASHARA

CALL 0658124288 , Kwa ajili ya kwenda kupaona na maongezi

BEI : Mil 190 na maongezi yapo kidogo .
 
View attachment 3174904

Kuna uzi humu unasema serikali inaichukua Sinza yote, ungesubiri huenda fidia itakuwa nzuri kuliko bei ya kuuza
 
Aisee ufanikiwe ndugu yangu

Asante sana kaka mimi nakushukuru sana ndugu yangu

Walau niuze hata mitumba ya watoto hiyo itanipiga jeck sana

Asante sana ndugu
Kweli unamaanisha kuwa una life ngumu? Kama hautojali nitakulimia heka 10 za ufuta gharama zote ni juu yangu ila kazi yako wewe ni kukaa huko shambani na kupalilia ufuta mpaka siku ya kuvuna
 
acheni tamaa ndugu zangu, miezi kadhaa imepita nimemsainia mtu mkataba kanunua nyumba sinza mori kwa 60m. nyumba ya kizamani kama hiyo. Sasa hiyo ndiyo nyumba ya kuuza 190m?
 
Back
Top Bottom