Unapajua mbweni mkuu!!? Tuachane na mbeni, hiyo nyumba tu, hiyo mil180 itatosha kuijenga hiyo nyumba na nakishi zake zote mpaka hivyo ilivyo!!?Kwa 180mil unapata kiwanja na unajenga nyumba nzuri kuliko hiyo na zinabaki pesa za furnitures
Ulishawahi jenga au ndo wasimuliwa habari?Unapajua mbweni mkuu!!? Tuachane na mbeni, hiyo nyumba tu, hiyo mil180 itatosha kuijenga hiyo nyumba na nakishi zake zote mpaka hivyo ilivyo!!?
Hiyo 180 labda hilo banda la uwani ambalo kuna watu wanatamani ingekua nyumba ya kuishi milele na vijakazi wao!
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Kwa uzoefu wangu wa ujenzi hiyo nyumba haifiki milioni 80 kwa ukubwa wake huo. Nina nyumba za kawaida na ghorofa. Na kila mara najenga najua ujenzi kuliko navyomjua mwanamkeUnapajua mbweni mkuu!!? Tuachane na mbeni, hiyo nyumba tu, hiyo mil180 itatosha kuijenga hiyo nyumba na nakishi zake zote mpaka hivyo ilivyo!!?
Hiyo 180 labda hilo banda la uwani ambalo kuna watu wanatamani ingekua nyumba ya kuishi milele na vijakazi wao!
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Pole sana! Karibu nyumbani mkuu!Ulishawahi jenga au ndo wasimuliwa habari?
Gharama za ujenzi hazifanani mkuu! Kuanzia location mpaka material! Hivyo kwa location ya hiyo nyumba ilipo na jinsi ilivyo, ukiunga na kiwanja hiyo 180m anaitoa bure, pengine anashida fulani na ipo serious sanaKwa uzoefu wangu wa ujenzi hiyo nyumba haifiki milioni 80 kwa ukubwa wake huo. Nina nyumba za kawaida na ghorofa. Na kila mara najenga najua ujenzi kuliko navyomjua mwanamke
Kwa hiyo nyumba kama hiyo ikijengwa Tabata na Mbweni gharama zinaongezeka?Gharama za ujenzi hazifanani mkuu! Kuanzia location mpaka material! Hivyo kwa location ya hiyo nyumba ilipo na jinsi ilivyo, ukiunga na kiwanja hiyo 180m anaitoa bure, pengine anashida fulani na ipo serious sana
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Wewe acha uongo hiyo nyumba haifiki hiyo bei
Mwaka gani!!?Kwa hiyo nyumba kama hiyo ikijengwa Tabata na Mbweni gharama zinaongezeka?
Nina nyumba Mikocheni nilijenga kwa milioni 90 na ina vyumba vinne na servant quarter na niliweka mpk ukuta na geti na nimepangisha mzungu
Sipo kwenye kukaza [emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji88] tukubaliane kutokukubalianaWewe acha uongo hiyo nyumba haifiki hiyo bei
Yaani hapo kiwanja na nyumba anapaswa chukua 120
2020. Sikatai hiyo nyumba kuuzwa 180m kwani kuna factors nyingi kwenye kuuza ikiwemo high profit margin.
Yaelekea wewe ni mtathimini mzuri sana naweza kukusumbua siku za usoni mkuu.Kwa uzoefu wangu wa ujenzi hiyo nyumba haifiki milioni 80 kwa ukubwa wake huo. Nina nyumba za kawaida na ghorofa. Na kila mara najenga najua ujenzi kuliko navyomjua mwanamke
Kwa bei ya 180 si mbaya kwa maeneo ya Mbweni kwa kuwa neighbourhood inaibeba.
Eneo ni dogo na kajumba ni kadogo
Hiyo nyumba uliyojenga dodoma kwa 18m, hapo mikocheni ungeijenga kwa sh ngapi mkuu! Jumlisha na kiwanja2020. Sikatai hiyo nyumba kuuzwa 180m kwani kuna factors nyingi kwenye kuuza ikiwemo high profit margin.
Binafsi biashara ya real estates ndio maisha yangu ingawa nina kazi kubwa ya serikalini
Nimewahi kujenga Dodoma nyumba ya chumba kimoja, sebule, jiko, choo na sehemu ya kufulia kwa 18m na mpangaji ananilipa 200k kwa mwezi
Nimeongelea nyumba sio kiwanja. Kiwanja inategemea na eneo ila kwa kiwanja cha sqm 400 to 500 hakiwezi kula 50m kwa maeneo ya MbweniHiyo nyumba uliyojenga dodoma kwa 18m, hapo mikocheni ungeijenga kwa sh ngapi mkuu! Jumlisha na kiwanja
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Hahahaha kaka tema mate chini wewe hauna ghorofa acha uongo hivi kwanini vijana munadanganya kiasi hiki?Kwa uzoefu wangu wa ujenzi hiyo nyumba haifiki milioni 80 kwa ukubwa wake huo. Nina nyumba za kawaida na ghorofa. Na kila mara najenga najua ujenzi kuliko navyomjua mwanamke
Kwa bei ya 180 si mbaya kwa maeneo ya Mbweni kwa kuwa neighbourhood inaibeba.
Eneo ni dogo na kajumba ni kadogo
Kwa nilicho kuuliza na ulicho nijibu naamini ulinielewa vizuri sana ila uliamua tu kubishana kwa kua unaamini unajua sana! Aya tuendelee na mambo mengine sasaNimeongelea nyumba sio kiwanja. Kiwanja inategemea na eneo ila kwa kiwanja cha sqm 400 to 500 hakiwezi kula 50m kwa maeneo ya Mbweni
Mie sio kijana. Vijana ni wananguHahahaha kaka tema mate chini wewe hauna ghorofa acha uongo hivi kwanini vijana munadanganya kiasi hiki?
Wewe ni muongo sana mwalimuMie sio kijana. Vijana ni wanangu