Apollo tyres
Senior Member
- Nov 16, 2024
- 109
- 286
Hii ya Mbweni ilikuwa inanifaa sana
Ila nakuja mwezi June au July ntapitia uzi huu au kama una Instagram account
Weka picha na beiMkuu kuna Nyumba naitoa IPO Goba Mata wa kunguru
Eneo lote kuna mansion
Pametulia Sana
Kuna nyingine Goba ya wifi yangu ni kubwa ila itabidi uipendezeshe mwenyewe, Hiyo ya mbweni kwakweli kila mtu aliipenda na haikuchukua muda ikapate mtejaApril 2023 hii itakuwa sio bahati yangu
Ila kama ningeiona wakati huo ningetoa offer kwa kweli
Ngoja nisubiri nyingine
Ila hii bado watu wanaijadili baada ya miaka kupita
SASA chukulia 50m kwani hiyo nyumba haujengi kwa 130m?Huyo pengine haujui Mbweni,kupata kiwanja tu hadi milioni 50 na bado hujajenga.kwa kiasi hicho inafaa.
Mimi sio mwenyeji sana ila nataka kuwekeza sehemu nzuri na salamaKuna nyingine Goba ya wifi yangu ni kubwa ila itabidi uipendezeshe mwenyewe, Hiyo ya mbweni kwakweli kila mtu aliipenda na haikuchukua muda ikapate mteja
Ni nyumba kabisa ya kisasa lakin mwenyewe hajafanyia exterior decoration, kwa Airbnb unarudisha pesa mapema sana kwa sababu ina vyumba vinne vyote self jiko sebule, mimi nina uzoefu na Airbnb, ukipata msimamizi mzuri hela utaiyona mapema na uzuri Airbnb hela yako utakuwa unaipata huko huko ulipo. kama utapata nyumba maeneo ya Goba nomba kazi π kuanzia consulting mpaka usimamizi.Mimi sio mwenyeji sana ila nataka kuwekeza sehemu nzuri na salama
Kama hiyo unasema inataka renovation
Swali je ina ukubwa kiasi gani na je inataka ipigwe chini yote au inafaa kufanywa hata Airbnb?
inshallah, kheri itawale. Iki wezekana tuta onana senior.Hii ya Mbweni ilikuwa inanifaa sana
Ila nakuja mwezi June au July ntapitia uzi huu au kama una Instagram account
Tuombe uzimainshallah, kheri itawale. Iki wezekana tuta onana senior.
Black Sniper Soma hiiNi nyumba kabisa ya kisasa lakin mwenyewe hajafanyia exterior decoration, kwa Airbnb unarudisha pesa mapema sana kwa sababu ina vyumba vinne vyote self jiko sebule, mimi nina uzoefu na Airbnb, ukipata msimamizi mzuri hela utaiyona mapema na uzuri Airbnb hela yako utakuwa unaipata huko huko ulipo. kama utapata nyumba maeneo ya Goba nomba kazi π kuanzia consulting mpaka usimamizi.
hicho ndio muhimu.Tuombe uzima
Hiyo pesa inayobaki ndiyo faida yake. Au unataka akuuzie kwa pesa ile ile aliyojengea?Hata kama Sqm 1 iwe laki, bado kwa hicho kiwanja utakipata kwa milioni 40.6
Inabaki nyingine 130 ambayo unajenga nyumba na inabaki vizuri kabisa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
DuhSafiiii..
Sema kuna ramani nitahitaji tuijadili PM . Box moja nimetokea kulikubali sana.Ewaaa mambo yangu hayo. Kitu mstatili safi kabisa. Sipendi kona kona hata kidogo.
Na ukitaka box liwe classic usiweke zile roof ndefu kama kofia za Ku Klux Klan, weka roof fupi kama hio nyumba kwenye hii thread.Sema kuna ramani nitahitaji tuijadili PM . Box moja nimetokea kulikubali sana.
Lakini sio Mbweni π ππ€£πKwa 180mil unapata kiwanja na unajenga nyumba nzuri kuliko hiyo na zinabaki pesa za furnitures