House4Sale Nyumba inauzwa Mkoa wa Mwanza

Hahahaaa nimecheka mpk uchovu wa kazi umeisha! Na huu umeme wamekata muda si mrefu sijui wanatutakia nini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tanesco siyo wa mchezomchezo ukipita pale makao yao makuu unakuta majenereta yanaunguruma wakati sisi huku kitaa hatuna umeme unashindwa kujua what went wrong
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tanesco siyo wa mchezomchezo ukipita pale makao yao makuu unakuta majenereta yanaunguruma wakati sisi huku kitaa hatuna umeme unashindwa kujua what went wrong
[emoji23] [emoji23] hakuna namna,na hii mvua ngoja tuingie kwenye mablanket
 
Mh labda atuambie tangazo lake na umeme vinausiana,
Je hata saa hizi hiyo nyumba Ina umeme!?
 
Hauko making million 9?? Nyumba siioni naona banda tu au kuna picha zingine?
Bei ni maelewano,cost iliyowekezwa haipishani na hiyo 9m.asiyejua gharama za ujenzi ndo anachukulia poa
 
Mteja ni mfalme,mkuu karibu

Mwaka 2007 nikiwa mwanza niliwahi uliziwa eneo kitangiri juu kabisa yani rada ya ndege unaona chini haaaa huko labda kwa teknolojia ya Brazil ya kuunga mlima kwa mlima
 
Mwaka 2007 nikiwa mwanza niliwahi uliziwa eneo kitangiri juu kabisa yani rada ya ndege unaona chini haaaa huko labda kwa teknolojia ya Brazil ya kuunga mlima kwa mlima
Nyumba za Lugumi bado zinatafuta mteja
 
eneo lipo mjini barabara ndo kama unavoona,makazi ya kutosha ,Umeme Maji,shule,hospital huduma zote za msimgi zipo karibu.
Bei ni maelewano kulinganisha uwekezaji uliofanyika na mahali eneo lilipo.
Karibu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu [emoji23][emoji23][emoji23] daaah jamaa kanichekesha sana hadi mke wangu hapa ananiuliza kuliko ni[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…