Nilivyoona picha tu nikaondoka eneo nililokuwepo nikaenda kukaa sehemu ya pekeyangu ndio nikaanza kusoma koment za wadau, nimecheka hadi machozi yamenitoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Comment za huu uzi haki nimecheka!!
Sio mawe ndio yanauzwa?Naomba tittle iwe kiwanja kinauzwa mkoa wa mwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kabisa ndo inavyotakiwaMi kanifurahisha kutokata tamaa,anazidi kutetea bidhaa yake[emoji23]
Ndg nadhani tuache dhihaka, kwa kuwa familia yake inaishi au kuna mtu anafanya maisha humo, kwa nafasi yake hiyo ni nyumba. Kwa wale wenyeji wa Mwanza kuna baadhi ya maeneo yana mawe kama mnavyoona ni viwanja vimepimwa.Blaza sasa hiyo ni nyumba au banda .......maana hapo kuta ni nne tu na ndani chumba ndicho kimebeba hizo kuta unasemaje kuwa ni nyumba hiyo?!
Usiwapotoshe wasioweza kununua nyumba za mil.100. Unacheka sababu haujui thamani ya hicho unachokicheka.kinauzwa kulingana na thamani yake karibu sana nduguSio mawe ndio yanauzwa?
View attachment 617137 Hizo zote ni Nyumba zimejengwa ,miliki unachokiweza kwa bei poa ndg.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kabisa ndo inavyotakiwa
Ukifika eneo husika utaona,unapofika utasoma geographic ya eneo husika.Naamini ukifika hiyo kauli hutoi tena.sijaona kiwanja Hapo..
Sio kazi yangu kukuelimisha. Kwa kifupi hati IPO.pia hapo huwezi kupata kiwanja cha 1,000,000/=Madalali ni wapuuzi sana,hati utaitoa wapi huko kwenye mawe?au ni hati ya kubumba?
This is a business not a joke. Unapahitaji njoo uone kama hati haipo.ninacho kizungumza ninauhakika nacho.
Akhsante kwa ushirikiano
Eneo limepimwa, Hati IPO karibu tufanye biashara, thanks.Na ndo maana unapadharau pole sana ndg. Inaonekana wewe ndo mwenye eneo endelea kutoa SIFA zake.
Akhsante kwa ushirikiano
Milion 9 bei maelewano?[emoji38]kwa hii hali jiandae kupunguza bei mara mbili maana hali ngumu>wilaya ya ilemela,kata kitangiri,mtaa wa Jiwe Kuu
>Hati IPO
>Ni master room na Dining
>Bei 9m
>Bei ni maelewano
>Airtel ;0685830586
Why people prefer cash than bond,while bond has more value than cash. Hii biashara mwisho ni 31December 2017.Nitapunguza ila sio Mara mbili kwa anayedhani hivo call anipigie nitamuelewesha.Milion 9 bei maelewano?[emoji38]kwa hii hali jiandae kupunguza bei mara mbili maana hali ngumu
Ushauri ni mzuri mkuu.Ongeza bei mkuu huo mgodi unaosema kiwanja sio mdogo
Kila kiwanja kilichozunguka hapo kina Nyumba.karibu sana BOSSNgoja nirudi Bongo ntakutafuta...nyumba poa sana hiyo mkuu hamna cha majirani wambeyawambeya.safiii