House4Sale Nyumba inauzwa Mkoa wa Mwanza

Nilivyoona picha tu nikaondoka eneo nililokuwepo nikaenda kukaa sehemu ya pekeyangu ndio nikaanza kusoma koment za wadau, nimecheka hadi machozi yamenitoka
Hahahaaaa!! Yaani jf sihami walah!
Nilicheka kama chizi.
 
Hahahaaaa!! Yaani jf sihami walah!
Nilicheka hadi kama chizi.

Hilo Jiwe kubwa hapo kuliondoa ukiandaa 300,000 linatoka na mawe unayatumia kujenga
Kwenda mpaka kwenye hiyo Nyumba ni tambalale mkuu.
Karibu sana kwa business
 
Hilo Jiwe kubwa hapo kuliondoa ukiandaa 300,000 linatoka na mawe unayatumia kujenga
Kwenda mpaka kwenye hiyo Nyumba ni tambalale mkuu.
Karibu sana kwa business
Hahahaaaa! Mkuu mimi sicheki kiwanja nacheka na comments za wateja wako. Biashara njema.
 
Hahahaaaa! Mkuu mimi sicheki kiwanja nacheka na comments za wateja wako. Biashara njema.
Mi mwenyewe nacheka sana sema kupitia wao mteja atapatikana.Na ndo maana najaribu kuwaelewesha wamiliki makazi mjini kwa bei poa.
Akhsante sana ndg.
 
Duuuh! Hii nayo nyumba mkuu? Sema nauza kiwanja kina mawe ya kujengea na banda
 
Mi mwenyewe nacheka sana sema kupitia wao mteja atapatikana.Na ndo maana najaribu kuwaelewesha wamiliki makazi mjini kwa bei poa.
Akhsante sana ndg.
Viwanja vya Mwanza mie navielewa, hivyo sikushangaa hata. Sema mawe na kokoto unatoa hapo hapo.
 
KWA MWANAMALUNDI
 
Duuuh! Hii nayo nyumba mkuu? Sema nauza kiwanja kina mawe ya kujengea na banda
Selling price reflect the actual price that is what to consider. Investment made determine the price of the area .thanks
 
Unauza mawe mkuu unasema kiwanja, hicho ni choo juu ya mawe ndo kinauzwa
Dah kuna watu mnajua kukomenti [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ee mungu nipe umri mrefu niweze kupata ii furaha
 
Asante kamanda
 
Alaf ii nyumba c ndo ile huw futuhi wanapenda kuigizia?
Wanataarifa kam nyumba yao inauzwa uku jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…