Tatizo sio location,bali ni sqm za jengo dhidi ya plot.Kinachouza nyumba ni pamoja na sehemu iliyopo, Hope kwa sasa unaona mwenge kuna magorofa kadhaa yanapanda, fanya tafiti na bei za pale,
Ila huenda nabishana na mtu hajui hata mwenge ipo wapi
Mkuu hiyo nyumba umesema ina sqm 500?? Really?? Haya tuambie na ukubwa wa kiwanja.karibuni bado vitu vipo!
Huyu nadhani anauza kanisa...Nyumba ya vyumba 3 na mabanda kwa 500sqm sizani mkuu.labda ni ukubwa wa hicho kiwanja
Hapo ndipo unapokosea. Watanzania sijui nani katuroga. Badala ya kunijibu unaleta nyodo... what if mi ni dalali kama wewe nataka specifications za uhakika ili nikuunganishie kwa mnunuzi wa uhakika??Hope ukiwa mteja serious tutawasiliana,
Mkuu labda kama ww utaendelea kubaki masikini, endelea kubaki hivyo hivyo, Namba zipo, sidhani mtu akiwa seriousi na hii kazi au mtu anaeweza angalau kutoa 50M anaweza kujibishana ishu kubwa hapa, mawasiliano yapo atakuja direct kuuuliza, ameona tangazo basi atauliza, na ukiangalia comment zako sidhani kua unaweza kua mteja!Hapo ndipo unapokosea. Watanzania sijui nani katuroga. Badala ya kunijibu unaleta nyodo... what if mi ni dalali kama wewe nataka specifications za uhakika ili nikuunganishie kwa mnunuzi wa uhakika??
Madalali wenye dharau ndo hubaki maskini kwa vinyodo vya kipuuzi namna hii...
Sawa endelea na udalali wako wa kipopoma. Ndo maana tangazo tangu March mpk leo hujapata mteja. Watoto wa mjini tukitaka kuuza hiyo nyumba tunakuja hapo Rainbow... tunaagiza castle lite baridi... tunapata details zote afu unashangaa wakati wewe unahaha kila siku kuufufua huu uzi wako JF, nyumba ishauzwa siku nyingi tu.Mkuu labda kama ww utaendelea kubaki masikini, endelea kubaki hivyo hivyo, Namba zipo, sidhani mtu akiwa seriousi na hii kazi au mtu anaeweza angalau kutoa 50M anaweza kujibishana ishu kubwa hapa, mawasiliano yapo atakuja direct kuuuliza, ameona tangazo basi atauliza, na ukiangalia comment zako sidhani kua unaweza kua mteja!
Amini nakuambia mteja hata ambaye yupo serious hata kama ni wa chumba cha elf 20 akiona tangazo atapiga simu, sio porojo
Hahaa mkuu unapambiwa ukweli usipanic, unaweza pia kupitia kuuliza, hata hivyo nyumba sio moja inayouzwa mitaa hiyo, labda nikuambie tu ukweli mm mwenyewe nina nyumba mwenge, na usikurupuke kusema tangazo la mda, unadhani biashara kubwa kama hiyo ni ya usiku mmoja kama ya nyanya? sisi ambao tuna nyumba mwenge tunalijua hilo, na nina nyumba zaidi ya tano zinauza, na nyingine zimeshauzwa, zingine ziko karibia na mlimani, so kubishana na ww mkuu ngoja niishie hapo, ila mteja hata kwa comments zake anajulikanaSawa endelea na udalali wako wa kipopoma. Ndo maana tangazo tangu March mpk leo hujapata mteja. Watoto wa mjini tukitaka kuuza hiyo nyumba tunakuja hapo Rainbow... tunaagiza castle lite baridi... tunapata details zote afu unashangaa wakati wewe unahaha kila siku kuufufua huu uzi wako JF, nyumba ishauzwa siku nyingi tu.
Dalali hata hujui ukubwa wa nyumba? Eti ina sqm 500.??? Nyumba ina sqm 500 hapo mwenge kijijini????
Tumekulia hapo kijana... usitake kuwaingiza watu chaka
Hahahahah eti una nyumba Mwenge??? HahahahaHahaa mkuu unapambiwa ukweli usipanic, unaweza pia kupitia kuuliza, hata hivyo nyumba sio moja inayouzwa mitaa hiyo, labda nikuambie tu ukweli mm mwenyewe nina nyumba mwenge, na usikurupuke kusema tangazo la mda, unadhani biashara kubwa kama hiyo ni ya usiku mmoja kama ya nyanya? sisi ambao tuna nyumba mwenge tunalijua hilo, na nina nyumba zaidi ya tano zinauza, na nyingine zimeshauzwa, zingine ziko karibia na mlimani, so kubishana na ww mkuu ngoja niishie hapo, ila mteja hata kwa comments zake anajulikana
Hahahahah eti una nyumba Mwenge??? Hahahaha
Ngoja nikachekee nje kule.... hahahahaa
Madalali bhana....
Hahahahah
Sawa bwana dalali. Jitahidi utafika tu. Najua vyuma vimekaza...Sina haja ya kubishana na ww, Pitia Threads zangu, utaona kuna vyumba napangisha bila dalali na mm ndio mmiliki, na wakuu niliowahi kukutana nao watakua wanakudharau tu, usidharau usiemjua! kuna madalali hata nusu wa walicho nacho huwafikii, iwe elimu au mkwanja, ww endelea kuseba "madalali bhana" hapa mjini pesa inatafutwa kila nyanja!
Sawa bwana dalali. Jitahidi utafika tu. Najua vyuma vimekaza...
Mmiliki wa nyumba mwenge asiyejua hata ukubwa wa viwanja vya Mwenge.... Eti nyumba ina ukubwa wa sqm 500!
Endelea kuuza nyumba za watu... Mungu ni mwema iko siku utajenga ya kwako. Naamini hutaiuza kiutaniutani hivi...
Kila la kheri bwana dalali