House4Sale Nyumba inauzwa Mwenge DSM ( mitaa ya TRA)

Japo naamini kwa mtu anaepafaham mwenge mitaa ya TRA na kweli ni muhitaji na mnunuzi hata wa kutoa 150M kwenda juu atakuja tu kwenye bamba niliyoweka hapo kama wengine wanavyofanya, hao ndio wateja!
Hapa JF unaweza ubishana na mtu hana hata wazo la kununua kiwanja miaka 30 ijayo!
 
Kinachouza nyumba ni pamoja na sehemu iliyopo, Hope kwa sasa unaona mwenge kuna magorofa kadhaa yanapanda, fanya tafiti na bei za pale,

Ila huenda nabishana na mtu hajui hata mwenge ipo wapi
Tatizo sio location,bali ni sqm za jengo dhidi ya plot.
 
zipo zingine kama tatu.. karibuni
 
nyingine bado zinapatikana
 
Hope ukiwa mteja serious tutawasiliana,
Hapo ndipo unapokosea. Watanzania sijui nani katuroga. Badala ya kunijibu unaleta nyodo... what if mi ni dalali kama wewe nataka specifications za uhakika ili nikuunganishie kwa mnunuzi wa uhakika??

Madalali wenye dharau ndo hubaki maskini kwa vinyodo vya kipuuzi namna hii...
 
Mkuu labda kama ww utaendelea kubaki masikini, endelea kubaki hivyo hivyo, Namba zipo, sidhani mtu akiwa seriousi na hii kazi au mtu anaeweza angalau kutoa 50M anaweza kujibishana ishu kubwa hapa, mawasiliano yapo atakuja direct kuuuliza, ameona tangazo basi atauliza, na ukiangalia comment zako sidhani kua unaweza kua mteja!
Amini nakuambia mteja hata ambaye yupo serious hata kama ni wa chumba cha elf 20 akiona tangazo atapiga simu, sio porojo
 
Sawa endelea na udalali wako wa kipopoma. Ndo maana tangazo tangu March mpk leo hujapata mteja. Watoto wa mjini tukitaka kuuza hiyo nyumba tunakuja hapo Rainbow... tunaagiza castle lite baridi... tunapata details zote afu unashangaa wakati wewe unahaha kila siku kuufufua huu uzi wako JF, nyumba ishauzwa siku nyingi tu.

Dalali hata hujui ukubwa wa nyumba? Eti ina sqm 500.??? Nyumba ina sqm 500 hapo mwenge kijijini????

Tumekulia hapo kijana... usitake kuwaingiza watu chaka
 
Hahaa mkuu unapambiwa ukweli usipanic, unaweza pia kupitia kuuliza, hata hivyo nyumba sio moja inayouzwa mitaa hiyo, labda nikuambie tu ukweli mm mwenyewe nina nyumba mwenge, na usikurupuke kusema tangazo la mda, unadhani biashara kubwa kama hiyo ni ya usiku mmoja kama ya nyanya? sisi ambao tuna nyumba mwenge tunalijua hilo, na nina nyumba zaidi ya tano zinauza, na nyingine zimeshauzwa, zingine ziko karibia na mlimani, so kubishana na ww mkuu ngoja niishie hapo, ila mteja hata kwa comments zake anajulikana
 
Hahahahah eti una nyumba Mwenge??? Hahahaha

Ngoja nikachekee nje kule.... hahahahaa

Madalali bhana....

Hahahahah
 
Sina haja ya kubishana na ww, Pitia Threads zangu, utaona kuna vyumba napangisha bila dalali na mm ndio mmiliki, na wakuu niliowahi kukutana nao watakua wanakudharau tu, usidharau usiemjua! kuna madalali hata nusu wa walicho nacho huwafikii, iwe elimu au mkwanja, ww endelea kuseba "madalali bhana" hapa mjini pesa inatafutwa kila nyanja!
 
Sawa bwana dalali. Jitahidi utafika tu. Najua vyuma vimekaza...

Mmiliki wa nyumba mwenge asiyejua hata ukubwa wa viwanja vya Mwenge.... Eti nyumba ina ukubwa wa sqm 500!

Endelea kuuza nyumba za watu... Mungu ni mwema iko siku utajenga ya kwako. Naamini hutaiuza kiutaniutani hivi...

Kila la kheri bwana dalali
 
Ngoja tu nikupotezee! mana maneno mengi kama mama wa uswazi, siwezi bishana na mtu ambae kwenye hii isue haweza hata kunusa harufu yake, endelea kupanga vyumba vya 40k, unakaa kwenye nyumba ya kupanga ya 40k utaweza kutoa hata wazo la nyumba ya 260M, kiwanja cha laki tano kimekushinda huna kweli unabweka hapa kwenye huu uzi? kweli? Hivi unajua nyumba za mwenge kijijini na ukubwa wake? toka kwenye hiyo vyumba vyako vya 40k huko uswahilini uje nikupe hata chumba cha 100k hapa mwenge ukae bure
 
Back
Top Bottom