House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

Hili eneo ni karibu na ikulu. Ni kama hivi pale magogoni Posta kiwanja kiwe karibu na pale. Hiyo 370mil basi tu Kwa vile tuna shida ya pesa ya haraka
Usipende kujibu post za watu as kama ni yako bei ni milioni 53 mazungumzo yapo
 
Kumbuka hapo ni tanga mkuu sio dsm.

Ingekua eneo la kiabiashara ni sahihi Ila eneo la makazi bado watu wengi hawajafika huko
Bei ni milioni 53 mazungumzo yapo...hao wanaosema milioni 300 ni wazushi wanajibu comment kwenye post ambazo haziwahusu
 
Nyumba ipo kisosora jirani na zahanati ya kisosora
*Rooms 4 (kimoja master)
*Jiko
*Sebule
*public toilet
*umeme
*maji
Bei milioni 53 (mazungumzo yapo)
call / whatsapp 0763316426

IMG-20230121-WA0003.jpg
IMG-20230323-WA0006.jpg
IMG-20230323-WA0003.jpg
IMG-20230323-WA0005.jpg
IMG-20230323-WA0004.jpg
IMG-20230323-WA0002.jpg
IMG-20230323-WA0001.jpg
IMG-20230121-WA0002.jpg
 
Wewe kwanin hukuweka bei mwanzo?
Na utapostije uzi wa biashara kisha uingie mitini?
Uko serious kweli wewe?
kama ulikuwa unahitaji biashara na kama hukuona bei why hukupiga simu upatiwe mwongozo??au maana ya kuweka namba ya mawasiliano ni nn??usipende kuingilia shughuli zilizokuzidi kimo utaumbuka..
 
kama ulikuwa unahitaji biashara na kama hukuona bei why hukupiga simu upatiwe mwongozo??au maana ya kuweka namba ya mawasiliano ni nn??usipende kuingilia shughuli zilizokuzidi kimo utaumbuka..
Nishukuru hata nimekusaidia uzi wako umeenda enda kidogo. Hizi hapa chini umeanzisha wanajibu wawili wakizid wanne. Nyingine hajibu hata mtu
Screenshot_20230716-171013_Chrome.jpg
 
Ila
Nishukuru hata nimekusaidia uzi wako umeenda enda kidogo. Hizi hapa chini umeanzisha wanajibu wawili wakizid wanne. Nyingine hajibu hata mtu
View attachment 2689980
ila kufanya masihara kwenye shughuli za watu sio jambo jema mana unaweza fanya watu waone kama biashara ya masihara kumbe ni jambo serious typing error huwa zinatokea.ungeweza kuwaambia watu wanaouliza wapige namba iliyowekwa ila sio kufanya masihara uliyofanya
 
Daah! Ila mkuu ulijua kuzuzua watu[emoji23]. Kuna jamaa alisema afanyiwe 75M alafu mwenye uzi anauza 55M[emoji23][emoji23]
Watu kama hawa ambao wanafanya masihara na biashara za watu huwa asilimia kubwa hawajui biashara huwa zinafanya vipi or wamezoea biashara zisizozidi laki mbili
 
NO, NOT AT ALL, 370M NO! and Kisosora not that much of a prime area ila kwa tanga ni mjini na sehemu ya zamani sana, ina jina.....
Huyo aliejibu hiyo 370M kajijibia tu kujifurahisha na kuharibu biashara za watu.Bei halisi ni milioni 53 kama unauhitaji or una mtu mwenye uhitaji call 0763316426 kwa malezo sahihi
 
Ila

ila kufanya masihara kwenye shughuli za watu sio jambo jema mana unaweza fanya watu waone kama biashara ya masihara kumbe ni jambo serious typing error huwa zinatokea.ungeweza kuwaambia watu wanaouliza wapige namba iliyowekwa ila sio kufanya masihara uliyofanya
Haya bana,
Ila usiwe unasahau details muhimu kama bei Mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom