House4Sale Nyumba mbili (pamoja) zinauzwa na bank, Tshs.30 milioni, Kihonda, Morogoro

Hiyo milioni 30 ni kwa nyumba zote mbili, sivyo?
 
Umesema nyumba mbili zinauzwa na benki inamaana zina deni la mkopo na umesema umiliki ni mkataba wa mauziano na je,hizo nyumba zipo chini ya benki au chini yako maana umetaka ulipwe 10% na mnunuzi na kwanini hiyo 10% usilipwe na hiyo benki ww si ni kama dalali wa hiyo benki.!

Iwapo nyumba zinauzwa na benki bila shaka order imetoka mahakamani kwa kuteuliwa kampuni au mtu wa kuendesha mnada kwa niaba ya benki. Je, wewe umekidhi vigezo vyote na kuteuliwa na mahakama au unataka kuziuza tu kienyeji?

Kwanza ni benki gani iliyopokea hati ya mauziano badala ya Hati rasmi ya nyumba? Isije kuwa Hati ya nyumba ipo huko benki kama bondi ya nyumba halafu huku nyuma mkopaji mwenye nyumba na dalali wake mnataka kuizunguka benki mkauza nyumba kinyemela halafu mnampa mnunuzi copy ya mauziano ya serikali ya mtaa kisha mnamwachia msala mnunuzi asumbuane na benk wenye hati halali, wanayoshika kama bond.!
 
Umepiga kwenye mshono kabisa.
 
Ina haki miliki ya mkataba wa mauziano?

Benki wanayo iyo haki miliki maana hapo maeneo yana hati safi title deed.
 
Umesema nyumba mbili zinauzwa na benki inamaana zina deni la mkopo na umesema umiliki ni mkataba wa mauziano na je,hizo nyumba zipo chini ya benki au chini yako maana umetaka ulipwe 10% na mnunuzi na kwanini hiyo 10% usilipwe na hiyo benki ww si ni kama dalali wa hiyo benki.!

Iwapo nyumba zinauzwa na benki bila shaka order imetoka mahakamani kwa kuteuliwa kampuni au mtu wa kuendesha mnada kwa niaba ya benki. Je, wewe umekidhi vigezo vyote na kuteuliwa na mahakama au unataka kuziuza tu kienyeji?

Kwanza ni benki gani iliyopokea hati ya mauziano badala ya Hati rasmi ya nyumba? Isije kuwa Hati ya nyumba ipo huko benki kama bondi ya nyumba halafu huku nyuma mkopaji mwenye nyumba na dalali wake mnataka kuizunguka benki mkauza nyumba kinyemela halafu mnampa mnunuzi copy ya mauziano ya serikali ya mtaa kisha mnamwachia msala mnunuzi asumbuane na benk wenye hati halali, wanayoshika kama bond.!
Dah, kweli mjini kaa kijanja hapa ukiwa umezubaa ndio umepigwa hivo, hatari sana
 
Kwa sisi waafrika ukiinunua hiyo hulali hapo ndani hata wapangaji wataikimbia
 
Kama wewe ni Mhitaji piga simu punguza kuandika Tamthilia na ujuaji katika vitu usivyovielewa.
kwa jibu hili tu inatosha kuelezea kuwa hapo biashara hamna wala hauna udalali,huyo mdau amekuuliza swali ambalo pia ni kama angalizo kwa mnunuzi,wewe ulipaswa ujibu kwa hoja ili hata kama mtu anataka kununua asiwe na mashaka ila wewe umejibu kama mtu anaetumia kiungo kingine cha mwili kufikiria na sio kichwa/ubongo
 
Umesema nyumba mbili zinauzwa na benki inamaana zina deni la mkopo na umesema umiliki ni mkataba wa mauziano na je,hizo nyumba zipo chini ya benki au chini yako maana umetaka ulipwe 10% na mnunuzi na kwanini hiyo 10% usilipwe na hiyo benki ww si ni kama dalali wa hiyo benki.!

Iwapo nyumba zinauzwa na benki bila shaka order imetoka mahakamani kwa kuteuliwa kampuni au mtu wa kuendesha mnada kwa niaba ya benki. Je, wewe umekidhi vigezo vyote na kuteuliwa na mahakama au unataka kuziuza tu kienyeji?

Kwanza ni benki gani iliyopokea hati ya mauziano badala ya Hati rasmi ya nyumba? Isije kuwa Hati ya nyumba ipo huko benki kama bondi ya nyumba halafu huku nyuma mkopaji mwenye nyumba na dalali wake mnataka kuizunguka benki mkauza nyumba kinyemela halafu mnampa mnunuzi copy ya mauziano ya serikali ya mtaa kisha mnamwachia msala mnunuzi asumbuane na benk wenye hati halali, wanayoshika kama bond.!
agiza u-fresh unywe mkuu, bill kwangu
 
Acha utapeli hapa wewe... Umeambiwa ukweli unaleta ngonjera... Wapige wa huko huko Moro...
Kama wewe ni Mhitaji piga simu punguza kuandika Tamthilia na ujuaji katika vitu usivyovielewa.
 
Umesema nyumba mbili zinauzwa na benki inamaana zina deni la mkopo na umesema umiliki ni mkataba wa mauziano na je,hizo nyumba zipo chini ya benki au chini yako maana umetaka ulipwe 10% na mnunuzi na kwanini hiyo 10% usilipwe na hiyo benki ww si ni kama dalali wa hiyo benki.!

Iwapo nyumba zinauzwa na benki bila shaka order imetoka mahakamani kwa kuteuliwa kampuni au mtu wa kuendesha mnada kwa niaba ya benki. Je, wewe umekidhi vigezo vyote na kuteuliwa na mahakama au unataka kuziuza tu kienyeji?

Kwanza ni benki gani iliyopokea hati ya mauziano badala ya Hati rasmi ya nyumba? Isije kuwa Hati ya nyumba ipo huko benki kama bondi ya nyumba halafu huku nyuma mkopaji mwenye nyumba na dalali wake mnataka kuizunguka benki mkauza nyumba kinyemela halafu mnampa mnunuzi copy ya mauziano ya serikali ya mtaa kisha mnamwachia msala mnunuzi asumbuane na benk wenye hati halali, wanayoshika kama bond.!
Umeongea vizuri sana.

Kama ni Benki ndiyo muuzaji brokerage fee hulipwa na Benki. Hapa Dalali aje afafanue vizuri. Vilevile mabenk huuza kwa mnada siyo kwa mtindo tata kama huu.
 
Umesema nyumba mbili zinauzwa na benki inamaana zina deni la mkopo na umesema umiliki ni mkataba wa mauziano na je,hizo nyumba zipo chini ya benki au chini yako maana umetaka ulipwe 10% na mnunuzi na kwanini hiyo 10% usilipwe na hiyo benki ww si ni kama dalali wa hiyo benki.!

Iwapo nyumba zinauzwa na benki bila shaka order imetoka mahakamani kwa kuteuliwa kampuni au mtu wa kuendesha mnada kwa niaba ya benki. Je, wewe umekidhi vigezo vyote na kuteuliwa na mahakama au unataka kuziuza tu kienyeji?

Kwanza ni benki gani iliyopokea hati ya mauziano badala ya Hati rasmi ya nyumba? Isije kuwa Hati ya nyumba ipo huko benki kama bondi ya nyumba halafu huku nyuma mkopaji mwenye nyumba na dalali wake mnataka kuizunguka benki mkauza nyumba kinyemela halafu mnampa mnunuzi copy ya mauziano ya serikali ya mtaa kisha mnamwachia msala mnunuzi asumbuane na benk wenye hati halali, wanayoshika kama bond.!
Salute Mkuu.... Upo sahihi mno..

Big Up📍🥊
 
Back
Top Bottom