Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Hizo nyumba hata waniuzie laki tano tano sinunui ni kununua mikosi tu..
Dalali kalala mbele!!Bank huwa wanauza nyumba kwa njia ya mnada ( hadharani ).
Dalali tapeli kaulizwa maswali magumu hadi kaamua kuingia mitini! hahaahaa Bongo sihami!!Dalali kalala mbele!!
Hizi sikukuu zina mambo! Hakuna tofauti na wale wa tuma kwa namba hii jina litakuja Hanuni Hacheki Umelizwa.Dalali tapeli kaulizwa maswali magumu hadi kaamua kuingia mitini! hahaahaa Bongo sihami!!
Ukiona hivyo kuna janjajanja nyingi ya kitapeli huenda ni white elephant hizoUmesema nyumba mbili zinauzwa na benki inamaana zina deni la mkopo na umesema umiliki ni mkataba wa mauziano na je,hizo nyumba zipo chini ya benki au chini yako maana umetaka ulipwe 10% na mnunuzi na kwanini hiyo 10% usilipwe na hiyo benki ww si ni kama dalali wa hiyo benki.!
Si muda mrefu kuna mtu atajishika kichwa baada ya kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali.
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni 100,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________jj/mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
huna ujualo ni ww ndie unaleta ujuaji kwa vitu usivyovijua vinafanyikaje..ww hiyo bei uliyotaja milion 30 kwa nyumba mbili nzuri kama hizo huoni mushkeli au lengo ni kuwapata wajinga wenye tamaa za haraka.! nyumba zilizo chini ya benki kuuzwa kwa order ya mahakama tu ikiwa sambamba na kuteuliwa kwa kampuni iliyosajiliwa na mahakama kufanya kazi za minada ndio itakayouza nyumba kwa niaba ya benki tena itauzwa kwa mnada wa wazi kwa wanunuzi kupandiana dau..ww uliona wapi benki wanatumia dalali uchwara wa mtaani asiye na vibali vya mahakama..kisheria benki hairuhusiwi kuuza nyumba bila kibali cha mahakama na mtu au kampuni lazima iwe imesajiliwa na ina vibali vyote kisheria kuendesha mnada..je,ww mleta uzi unatambulika kisheria na unavyo vibali kukuruhusu kufanya huo mnada.. je,unayo order ya mahakama na barua ya benki kukutambua ww kuuza hizo nyumba ambazo ni mali ya benki kwa sasa.? au ww dalali na mwenye nyumba mnataka kuuza nyumba ili kuiwahi benki alafu msala mnawaacha wengine si utapeli tu huo.!Kama wewe ni Mhitaji piga simu punguza kuandika Tamthilia na ujuaji katika vitu usivyovielewa.
Hizi nyumba labda wanilipe fedha wao,siwezi kununua nyumba za hovyo kwa hiyo hela.Eneo ni KIHONDA, Mazimbu road.
Mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kila nyumba moja ina vyumba vya kulala 3.
Na pia kuna Fremu mbili za Biashara.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni 100,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________jj/mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
View attachment 3306772View attachment 3306774
View attachment 3306773
View attachment 3306775
Ahsante kwa madina safi kabisa.Huyu anayejiita dalali ana nyuzi za kutosha humu kuhusu uuzaji wa nyumba na majibu yake yamejaa nyodo nyingi . Hii ni red flag kwetu.Tuwe macho la sivyo tutapigwa.huna ujualo ni ww ndie unaleta ujuaji kwa vitu usivyovijua vinafanyikaje..ww hiyo bei uliyotaja milion 30 kwa nyumba mbili nzuri kama hizo huoni mushkeli au lengo ni kuwapata wajinga wenye tamaa za haraka.! nyumba zilizo chini ya benki kuuzwa kwa order ya mahakama tu ikiwa sambamba na kuteuliwa kwa kampuni iliyosajiliwa na mahakama kufanya kazi za minada ndio itakayouza nyumba kwa niaba ya benki tena itauzwa kwa mnada wa wazi kwa wanunuzi kupandiana dau..ww uliona wapi benki wanatumia dalali uchwara wa mtaani asiye na vibali vya mahakama..kisheria benki hairuhusiwi kuuza nyumba bila kibali cha mahakama na mtu au kampuni lazima iwe imesajiliwa na ina vibali vyote kisheria kuendesha mnada..je,ww mleta uzi unatambulika kisheria na unavyo vibali kukuruhusu kufanya huo mnada.. je,unayo order ya mahakama na barua ya benki kukutambua ww kuuza hizo nyumba ambazo ni mali ya benki kwa sasa.? au ww dalali na mwenye nyumba mnataka kuuza nyumba ili kuiwahi benki alafu msala mnawaacha wengine si utapeli tu huo.!
NakaziaKwa sisi waafrika ukiinunua hiyo hulali hapo ndani hata wapangaji wataikimbia
KekunduKwa lugha hii, mnunuzi uwe macho kuna dalili za kulizwa.
Janja Janja%10? M 30? Mali ya bank? Nyumba ina deni inamaanisha dalali amewazunguka bank,, kwakuwa bank hawajui taratibu za kuuza nyumba za wadeni wao? Hapo Kuna mchezo Kati ya dalali na mwenye nyumba
😁😄😁😁🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😁😁Acha utapeli hapa wewe... Umeambiwa ukweli unaleta ngonjera... Wapige wa huko huko Moro...
Hiloooo tapeli linaona aibuNafanya Kazi.
Huo muda mchafu wa kung'ang'ana kujibu watu ambao najua si Wateja nautoa wapi?
-Lakini, ukiamini nimekimbia yote Kheri.
Kumbuka;
Hakuna anaenidai.
La-kuwaacha nalo tu ni kuwa;
Hayupo yeyote wakuniamulia niifanyeje Kazi yangu achilia mbali kujieleza saana.
Maisha yangu,
Taratibu zangu,
Namna yangu,
Ukiona hatuendani pita kushoto.
Hujawahi kunilisha na siwezi kufa njaa kwa kutokukuhudumia wewe.