monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 887
- 1,596
Dalali kakutana na maswali yaliyoshiba kutoka kwa wachangiaji hadi ameshindwa jinsi ya kujibu zaidi ya kujibu pumba tu hadi hapo umeshaondoa uaminifu kwa wahitaji🏃🏃🏃Nafanya Kazi.
Huo muda mchafu wa kung'ang'ana kujibu watu ambao najua si Wateja nautoa wapi?
-Lakini, ukiamini nimekimbia yote Kheri.
Kumbuka;
Hakuna anaenidai.
La-kuwaacha nalo tu ni kuwa;
Hayupo yeyote wakuniamulia niifanyeje Kazi yangu achilia mbali kujieleza saana.
Maisha yangu,
Taratibu zangu,
Namna yangu,
Ukiona hatuendani pita kushoto.
Hujawahi kunilisha na siwezi kufa njaa kwa kutokukuhudumia wewe.